Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kwa hiyo tukuamini wewe?Hawa jamaa hawaaminiki kabisa mkuu.
Habari zao zina utata.
Kwa hiyo tukuamini wewe?Hawa jamaa hawaaminiki kabisa mkuu.
Habari zao zina utata.
Oya kaka makombora yanashuka tu bila kupingwa aisee doh😂😂😂😂.Air defense imeshindwa kuzuia kombora, limepiga target muda huu
View attachment 3375448
Yakishatua huku mossad wakiwa kwenye bunker, wana post "all intercepted", hii ni kuwaondolea hofu wananchi wasitoroke nchi..Iran walisema anga la israel sasa jeupe
Nuclear ni silaha ya mauaji ya hakaiki,rejea nagasaki and hiroshima, uislam unakataza kukata miti vitani so hauruhusu asiyehusika kuuawaAyatollah hataki kutengeneza nuclear sababu dini hairuhusu? Iweke vizuri hii maana sijakupata
Iron dome kipa katokaOya kaka makombora yanashuka tu bila kupingwa aisee doh😂😂😂😂.
Mossad wanakuambia intercepted..Oya kaka makombora yanashuka tu bila kupingwa aisee doh😂😂😂😂.
Video si hizi kaka zinaonesha yanapita?Walirusha matano na yalikua intercepted,
Sikatai, ila Ayatollah amewapa basic za binadamuLakini hata ayatollah pia amewadictate sana, Kuna raia wengi wamepitia mateso ya utawala ayatollah, Kuna mamia wameuwawa
Kuna fungusVyote vimepopolewa!!! Tunasubiri labda kuna vingine!!!!
Israel wanaficha picha na kuzuia watu wasisambaze taarifa ila kiukweli Tel Aviv inachakaa ndo maana Trump anataka kuingia mzima mzima akaiokoe Israel, Iran hii vita kadhamiria kama mbaya iwe mbayaKuna milipuko mikubwa sana inasikika Tel Aviv, muda si mrefu tutapata picha..
Ni kweli mkuu, white house hakukaliki, kila baada ya dakika tano unaambiwa wako kwenye kikao mara situation room, si ishara nzuri..Israel wanaficha picha na kuzuia watu wasisambaze taarifa ila kiukweli Tel Aviv inachakaa ndo maana Trump anataka kuingia mzima mzima akaiokoe Israel, Iran hii vita kadhamiria kama mbaya iwe mbaya
Aaah sasa Iran amezidi aisee si akaushe tu!?Vyuma kama vyote vinaelekea Israel sasa..
BREAKING: HUGE NUMBER OF NEW MISSILES LAUNCHED TOWARDS ISRAEL
Mkuu Wala hazina utata hizi ambazo hazina unazi, tangazo likitoka linakua public na shambulizi likiisha tangazo la watu kurudi mtaani pia linakua publicHawa jamaa hawaaminiki kabisa mkuu.
Habari zao zina utata.
Mbona video zinazotumwa zinaonesha yanapenya kaka?Mkuu Wala hazina utata hizi ambazo hazina unazi, tangazo likitoka linakua public na shambulizi likiisha tangazo la watu kurudi mtaani pia linakua public
Ila wakiweka habari kuwa wataiangamiza Iran ndani ya siku moja hapo nitajua ni uongo. Habari ya uongo wala haihitaji akili nyingi kuijua
Tutakesha hapa, tawala zote hiyo ya ayatollah na hiyo ya kina pahlavi hazijawapa nafuu yoyote wairanSikatai, ila Ayatollah amewapa basic za binadamu
1. Elimu bora ambayo ipo respected Dunia nzima
2. Afya Bora
3. Miundombinu ya maana Nchi nzima Even though nchi yao ina terrain mbaya
Na nikisema hivyo vitu Namaanisha nchi nzima including vijijini, Iran wana Hospitali za Kutembea kubwa ambazo zinasambaza Huduma Vijijini kabisa, to the point Wanasayansi wa Marekani wanaenda Iran kujifunza namna ya kutoa Huduma Vijijini.
Sha Yeye alikua na Kaki kundi kake mjini anakula maisha na Circle yake nchi nzima haina Elimu, Afya wala huduma yoyote ya kijamii. Angalia data yoyote Ya Iran miaka ya 70 walikua Ovyo kushinda nchi zetu za Ki Africa.
Mkuu hivi wewe huwa upo sawasawa?Nuclear ni silaha ya mauaji ya hakaiki,rejea nagasaki and hiroshima, uislam unakataza kukata miti vitani so hauruhusu asiyehusika kuuawa