SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Haya sasa.. tukisema hapa Israel inaficha inavyopokea kichapo watu wanabisha, jerusalempost hio..

Hali si nzuri kwa Israel.. wanatisha wananchi kuwafunga jela wakipost

BREAKING: ISRAEL PUTTING CITIZENS IN PRISON IF THEY POST VIDEOS SHOWING IRAN BOMBINGThe Israeli military’s Chief Censor has signed a new order allowing the prosecution of civilians and media outlets who publish footage of missile impacts, drone strikes, or classified security information.Source: Israeli media:

GtwfF0EWcAAtWo8
 
Tutakesha hapa, tawala zote hiyo ya ayatollah na hiyo ya kina pahlavi hazijawapa nafuu yoyote wairan
Ya Khomeini kaka imeleta unafuu.
Illiteracy rate kipindi cha Pahlavi ilikua kubwa sana kuliko sasa.
Iran ya sasa ya Khamenei kasoro zake ni kuu mbili.
-Kulazimisha itikadi Kali za kishia.
-Vikwazo vya kiuchumi wanavyosulubiwa navyo.
Apart from that hakuna kingine.
 
Tutakesha hapa, tawala zote hiyo ya ayatollah na hiyo ya kina pahlavi hazijawapa nafuu yoyote wairan
Kwa hio from no where mpaka kuwa nchi ya 15 kwa Contribution za Kisayansi, kuanza kujitegemea kutengeneza magari yenu, Treni zenu, makombora kama hayo, wananchi wote kupata huduma za Afya elimu etc, kuwa na malls na miundombinu best Duniani sio nafuu Kwa wananchi?

Iran Raia wake wanatumia Metro, Yes metro ambazo Hata Marekani Hana za maana na Metro ya kwanza Wametengenezewa na China sasa hivi 85 percent wanatengeneza wenyewe, Nauli ni sh za Tanzania 135 tu haijalishi unaenda wapi,
images (73).jpeg
 
Haya sasa.. tukisema hapa Israel inaficha inavyopokea kichapo watu wanabisha, jerusalempost hio..

Hali si nzuri kwa Israel.. wanatisha wananchi kuwafunga jela wakipost

BREAKING: ISRAEL PUTTING CITIZENS IN PRISON IF THEY POST VIDEOS SHOWING IRAN BOMBINGThe Israeli military’s Chief Censor has signed a new order allowing the prosecution of civilians and media outlets who publish footage of missile impacts, drone strikes, or classified security information.Source: Israeli media:

GtwfF0EWcAAtWo8
Mkuu weka link ya hii taarifa ili iwe rahisi kwa mtu kuisoma na kujua chanzo chake

Hata hivyo ni kweli Israel wanazuia watu kureport, hata Iran pia Leo tu wamezima access ya internet kwa muda mrefu
 
Kwa hio from no where mpaka kuwa nchi ya 15 kwa Contribution za Kisayansi, kuanza kujitegemea kutengeneza magari yenu, Treni zenu, makombora kama hayo, wananchi wote kupata huduma za Afya elimu etc, kuwa na malls na miundombinu best Duniani sio nafuu Kwa wananchi?

Iran Raia wake wanatumia Metro, Yes metro ambazo Hata Marekani Hana za maana na Metro ya kwanza Wametengenezewa na China sasa hivi 85 percent wanatengeneza wenyewe, Nauli ni sh za Tanzania 135 tu haijalishi unaenda wapi,
View attachment 3375480
Huyo jamaa nimeona anabisha kwa kusema utawala wa Shah na Ayatollah ni sawa kwa kuleta maendeleo ya wananchi, nimegundua hajui lolote..
 
Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?
Unataka kusema ile Iran ya 1970's hadi Leo ingekua palepale?
 
Sijabisha kuhusu maendeleo sababu ni lazima kuwe na mabadiliko kwa utawala wa maka ya 1970 na sasa, hata Tanzania ya miaka ya 1970 na sasa ni tofauti.

Nilichozungumzia ni mabavu, wote ni dictators
 
Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?
Unataka kusema ile Iran ya 1970's hadi Leo ingekua palepale?
Kaka unabisha bure bana.
Hadi kufikia 1970 Iran ilikua Ina BIG ECONOMIC CRISIS.
Tena hapo serikali Ina ushirikiano na USA and allies.
Embu nenda kafuatilie hata google anguko la uchumi aliloleta Pahlavi.
 
JUST IN: Israeli air defense systems launched 12 interceptor missiles to deal with just one Iranian missile..BUT THE INTERCEPTIONS STILL FAILED

interceptors 12, lakini bado chuma hakielewi.. Hapa Trump lazima aombe mazungumzo.. kimepiga target,

Hao hawana rationale thinking capacity, wana religious oriented minds.
It's weird, Pahlavi kapinduliwa 1979, more than 45 years ago, kweli bado Iran iwe palepale tu??
Basi hata magufuli na mama Samia ni Bora kuliko wote waliopita maana walileta SGR ambayo hatukua nayo au mwendokasi
 
Back
Top Bottom