SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hilo la Mama Samia nimelisikia juzi eti kaleta maendeleo kuliko marais wote waliopita tangu Nyerere,yaani mahaba yakizidi na akili inapungua.
Kama tunalinganisha miaka 45 iliyopita na Leo unafikiri watasemaje?
Akili ya kawaida tu hivi kweli toka miaka ya 70 hadi leo hii tusingekua na barabara mikoa yote? Tusingekua na treni? Tusingekua na miji iliyojengeja vizuri? Kweli kabisa tungebaki palepale?
 
BREAKING: RUSSIA AND IRAN NUCLEAR DEALRussia could continue working with Iran in nuclear energy and ensure interests in this area, Putin said.More than 200 specialists from Russia are in Iran building two more nuclear power plant units, the president added. Russia has reached an agreement with the Israeli leadership to ensure their security.

Russia wameshindikana, ina maana hapo Israel akijichanganya kuwashambulia hao wataalamu, lazima watatubu.. huu ni mtego.. 😂 😂 😂 😂
Mkuu City Thunder OKC unaona watu unaobishana nao kwa facts akili zao zilivyo,yaani Russia apeleke wataalamu wake wa nuclear Iran kipindi hiki cha vita tena hizo reactor zenyewe zipo mashakani.
 
Kama tunalinganisha miaka 45 iliyopita na Leo unafikiri watasemaje?
Akili ya kawaida tu hivi kweli toka miaka ya 70 hadi leo hii tusingekua na barabara mikoa yote? Tusingekua na treni? Tusingekua na miji iliyojengeja vizuri? Kweli kabisa tungebaki palepale?
Mpaka 2005 tulikua na chini ya 5000km za lami,na kipindi cha nyerere kama ungeondoka dodoma 1970 na kurudi 1985 ungekuta mji uko vilevile, serikali haikujenga sekondari hadi 2005,lakini 2006 kuja leo kuna maendeleo makubwa yamefanyika katika elimu,afya, miundombinu nk,hata watz leo wanajua kufanya biashara
 
Teh teh kweli hizi akili ni zakuvukia barabara tuu,population ya mwaka 1970 ni sawa na 2005 usemayo?
 
Umesema Iran ni middle upper income country, ndio nikakujibu hata kesho ni middle upper income country bila kuwa resources za mafuta wala gas,nini hujaelewa hapo?
Unabana pua kabisa 'kenya ni upper middle income country
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-01-47-20-366.jpg
    Screenshot_2025-06-19-01-47-20-366.jpg
    364.2 KB · Views: 21
Mkuu City Thunder OKC unaona watu unaobishana nao kwa facts akili zao zilivyo,yaani Russia apeleke wataalamu wake wa nuclear Iran kipindi hiki cha vita tena hizo reactor zenyewe zipo mashakani.
Hizo ni habari ambazo zimejiri leo,we unabisha,we una matatizo, aliyekua anaongea ni Putin mwenyewe,jambo rahisi la kutafuta tu mtandaoni
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-01-23-54-557.jpg
    Screenshot_2025-06-19-01-23-54-557.jpg
    318 KB · Views: 13
Back
Top Bottom