SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Matokeo ya kura za maoni za Fox News kwa Wamarekani kuhusu kitisho kwa Irani kwa nchi yao.
 

Attachments

  • FB_IMG_17502918841104749.jpg
    FB_IMG_17502918841104749.jpg
    330.7 KB · Views: 18
President Donald Trump met Pakistan’s army chief Wednesday in Washington as the US considers supporting Israeli airstrikes on Iran, a country with a cooperative and complex relationship with the government in Islamabad.
 
Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi claimed Tehran’s actions are purely in self-defense, but his country “remains committed to diplomacy."
 
Israel inashambulia Tehran kwa makombora muda huu
Mkuu nimekuletea hapa utafiti uliofanywa na Aljazeera kuhusu maoni ya Wananchi wa Israel juu ya vita hivi zidi ya Iran. Waisrael 83% wanaunga mkono Serikali kupigana hii vita,hata wale wakina Gantz na wenzake waliojiuzuru wanamuunga mkono Netanyahu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250619-044755.png
    Screenshot_20250619-044755.png
    155.7 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250619-044844.png
    Screenshot_20250619-044844.png
    161.2 KB · Views: 16
Tumeanza kuwamaliza waliomuua Yesu

View attachment 3375388
ISRAEL imetumiwa na MAREKANI NA ULAYA lengo ni kutaka kupora Rasilimali za Iran kama GAS NA MAFUTA.!!!

ili jambo la Nuclear ni kisingizio tu !!!

Sasa Israel na kimbelembele chake kimemponza miji yake mingi imegeuzwa GAZA !!!

na Washilika wake kila wakipima Maji wanayaogopa Mfano zile Hypersonic missile au Fattah- 1 adi 11 miji mikubwa ya Ulaya zinafika na awawezi kuzuiya!!!

mana mjanja wao wa kitechnology ndio uyo Israel ambae Miji yake imesagwa sagwa!!!

kimsingi IRAN inaenda Shinda Vita Mapema zaid. Tofaut na tujuavyo !!!

tatizo Awakujua uwezo wa Iran kamili !!

kwasasa tumaini la Israel ni Magaid yake ya Mossad ndani ya Tehran yanayotatiza Mifumo ya ulinzi ya Iran !!!

apa Iran akifanikiwa kuwafeka awa kunguni !!!

manake Iran itaongeza upya Air Defence systems kwenye miji mbalimbali ndege za Israel zitakimbia !!!

apo sasa tutamuona Tramp na UN wakitaka kusimamishwa kwa Vita kuiyokoa Israel isizamishwe kabisa !!!

Embu waza kwa utulivu kichwani kwako wacha mahaba kwanza!!!

umeona wapi Vita kama hiii !!

Ajabu ipo apa miji ya Israel imechakazwa Vibaya !!
sasa uyo mpigani yupo wapi !!

unaambiwa ajapeleka NDEGE Israel wala MELI yeye yupo uko uko kwake Iran umbali wa km 2000+ !!

mpigaji kwake kama anacheza Draft tu piga pale piga kule gorafa ili lile mji huu ule Israel itapona kweli apo !!

Tuombe Aman ndugu watu awalali kabisa watoto wadogo Usiku wakisikia kelele kishindo apana kila siku atalia akikumbuka usiku zile kelele mateso!!

Wamama Wababa wanateseka sana uko Israel kama ilivokuwa kwa wenzao wa Gaza.,,, hii vita imenifanya nidhidi kuamini kuwa Wairan ndio Wayahudi OG,
 
Back
Top Bottom