Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hatuoni Ayatollah akifanya hiviBreaking
Israel kikao Cha serikali na wakuu wote kinafanyika muda huu Tel Aviv
View attachment 3375342
Hatuoni Ayatollah akifanya hiviBreaking
Israel kikao Cha serikali na wakuu wote kinafanyika muda huu Tel Aviv
View attachment 3375342
Watu wapo comfortable kabisaBreaking
Israel kikao Cha serikali na wakuu wote kinafanyika muda huu Tel Aviv
View attachment 3375342
Mbona lina rangi ya CCM huenda mama kawapa msaada iran![]()
Iran wametuma hili kombora, Sejjil...
Lipo njiani linaelekea... range yake 2400 km..
Siku zinavyozidi kwenda wanaishiwa silaa, jedwari zitakuwa chiniView attachment 3375345
A graph by Aryeh Eisenman showing the quantities of Iranian missiles launched in each barrage, over time.
This can certainly explain the decision on the easing of restrictions approved by the Home Front Command starting at 18:00.
The Iranian missile threat is steadily decreasing as time progresses. The elimination of the launchers is achieving results.
Si unajua uchumi wetu upo juu?, wao wamebakia kupigana pigana tu.Mbona lina rangi ya CCM huenda mama kawapa msaada iran
Inaumiza eh 😄Propaganda zakitoto
AI ipo kwa ajili hiyoHiyo message wanayotumiwa wananchi wa Iran ukifungua link inaleta hivi
Nimeshindwa kutafsiri, anayejua anaweza kusaidia kutafsiri
View attachment 3375338
Afanye na nani ilihali kila akiweka mkuu wa majezhi anafyekwaHatuoni Ayatollah akifanya hivi
Si umeona tumewazidi ukuaji kiuchumi Marekani na UlayaMbona lina rangi ya CCM huenda mama kawapa msaada iran
Hizi ni cheap propaganda,halafu hizo ndege zitafanya kazi uwanja upi na kwa marubani wapiTrump: "We'll have a meeting about the Iran-Israel war in an hour. Iran wants to come to the White House, maybe I will. Anything is possible"
Trump anapiga domo sana.Hizi ni cheap propaganda,halafu hizo ndege zitafanya kazi uwanja upi na kwa marubani wapi
Wanajeshi wa Israel wameenda kwenye tunnels..juu hakukaliki... SHETANYAHU yupo Greece....hahaha..shikamoo Iran
View: https://youtu.be/NrmhAHmQF5U?si=qeL2yHBbTUvjEij8
Imekua intercepted wapi? Leta source, ile uliyoweka mwanzo sio interception ilikua ndio inaruka, kuna video kabisa zinaonesha ikiruka.Hii ilishapita mkuu na yakawa intercepted. But bado naamini wanaweza kurusha mengine baadae
Na anazidi kuongeaTrump anapiga domo sana.
President Trump on the campaign against Iran: "The goal: total victory."
Trump also: Tucker Carlson apologized to me.
Kaka hiyo ballistic imeenda nje ya dunia. Okirudi itakuwa na force kubwa mno. Hakuna cha THAAD wala nini. Inakuja kuiangamiza Israel. Na imeelekezwa kwenye mahandaki ya wayahudi. Ikishuka inauwezo wa kwenda 300km chini.Imekua intercepted wapi? Leta source, ile uliyoweka mwanzo sio interception ilikua ndio inaruka, kuna video kabisa zinaonesha ikiruka.
Kombora limeenda juu zaidi, taarifa zilizopo linasakwa, halijulikani linaenda wapi ama linaenda kupiga nini,