Sio amepopolewa tu bali amepopoa na kupopolewa.Hahaha Israel amepodolewa au sio
Israel bado inashambulia kwa makombora muda huu huko Tehran
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935405738228130137?t=2GFWk1vWJ91bWuI4psRdAA&s=19
Vituko haviishi humuTv stations mbalimbali zimekua hacked nchini Iran na zinatangaza wananchi waandamane kuiondoa serikali
View attachment 3375257
Breaking News:
Kuna taarifa kuwa mkuu wa majeshi mpya wa Iran ameuwawa ni baada ya kusurvive assassination attempt Leo lakini baadae akaweza kuuliwa.
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935404877133516932?t=ocLkzKS-KQHlubbiV3kA2w&s=19
Pray for iranHamna vita hapa ni vichaa wawili wamekutana kwa kazi moja tu ( kupotezea muda watu kuwafuatilia )
Madhara ya sasa ni makubwa kuliko ya mwanzo,Missiles mbili kutoka missile 300,na hazijaleta madhara yeyote
Unashindwa kuombea umasikini wako una ombea watu wasio na time na wewe dogo unazinguaPray for iran
Eti nduli Ayatollah HahahahaHakuna kulala iwe mchana iwe usiku apigwe nduli ayatolah
Social
Political
Economic
Nk
Huo u mwisho, ndio kushindwa kwenyeweKhamenei anasema hawapo tayari kusalimu amri, watapambana mpaka mwisho
Ndiyo, lakini bado haijawa confirmed kwa 100%. Tusubiri taarifa kamili itapatikana tu pundeHuyu ni wa tatu mfululizo?
Waajemi hiyo nafasi wataikimbia
Pray for iranUnashindwa kuombea umasikini wako una ombea watu wasio na time na wewe dogo unazingua
Kwa Iran angalau imebalance mkuu.Ipo hivyo, sio Israel tu hata Iran wapo raia wengi hawaupendi utasala wa Khamenei
Huu mzigo wanasema umeenda nje ya Earth's atmosphere, ndege za kuintercept za US na UK wanalitafuta, na kulivizia njiani kama wataliona.Kiongozi acha uongo, hilo kombora limepigwa picha anga la Iran, hilo kombora mji mzima umeshangaa hio trajectory hajawahi kuonekana, hap si Israel ni Iran..
Hilo kombora lililoachiwaleo ni deadly.subirini habari mnazipata hapa hapa...
Punguza propaganda..
Pray for iranKwa Iran angalau imebalance mkuu.
Ila Israel aaah imezidi.
Raia wa Iran kinachowaumiza wao ni economic sanctions tu.
Ndio maana hata uchaguzi wa kumchagua mbadala wa Marehemu Raesi Masoud alishinda kwasababu aliahidi kutoa vikwazo vya kiuchumi na kuirudisha ushawishi wa kisiasa na kibiashara duniani.
Wakampa kura,wao wenyewe raia walisema tunacholilia sisi ni kuondoka vikwazo vya kiuchumi,yeyote atakayeahidi hilo tunamchagua.
Ila kwa Israel ni tofauti kaka,kabla ya Oktoba 7 Kuna raia wa Israel waliwekeza Gaza kibiashara wengine hadi mitaji ya $ 10 millions.
Vita ilipoanza pesa zikateketea.
Israel imekua nchi ambayo haina amani ya kweli.
Kila mwaka kukimbizana na air sirens.
Hiki kitu Israel kinawachukiza.
Walichukizwa zaidi pale serikali ilipotaka kuwalazimisha Jews orthodox waingizwe jeshini,pale ndio walitibua kabisa hali ya hewa.