SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Screenshot_20250618_210524_Telegram X.jpg
 
Sijaelewa maelezo yako
Kwa lugha rahisi fikiria kama kuna internet ya Taifa na internet ya kimataifa, wakifungua internet ya kimataifa ile ya Taifa bado inapiga kazi, unaingia internet kama kawaida ila una access tu server ambazo zipo ndani ya Iran.

Hii inasaidia wao wenyewe jeshi kuweza kuwasiliana ila wale wanaowasiliana na watu nje ya Iran hawawezi, unless wawe na internet nyengine ambazo zinatumia satelite.
 
Waisrael waliomba kusurrender kwa Iran? Hii si kweli
Lakini pia sio waisrael wote wanapenda kinachoendelea na sio wpte wanampenda Netanyahu
Hivyo hivyo kwa Iran pia, wapo wananchi wa Iran hata sasa wanataka Iran kusurrender kwa Israel.

Moral of the story ni kuwa lazima kuna wananchi wachche watakua wanataka jambo fulani, hivyo haihalalishi kuwa nchi nzima inataka hivyo
Ila kwa Israel raia wengi aisee wamechoka na vita na hawampendi netanyahu.
Tukio la Oktoba 7 ni shahidi.
 
Unasemaje mama wa kikenya?.. vyuma vimerushwa kabla hata ya saa sita,yaani hatutaki wale chakula cha usiku vizuri,na saa sita hatutaki walale, alfajiri hatutaki wafungue vinywa...utanipa washeli?!

Kobazi wametuma dude jipya,yahud mwenyewe hajui ni nini?..linachora graph za linear programming angani
Missiles mbili kutoka missile 300,na hazijaleta madhara yeyote
 
Ndio naanza kumuelewa huyu babu kumbe ule urushaji wa makombora 300 ni usafishaji wa ghala ni makombora ya miaka mingi sasa kombora Moja target 80,hapo Israel arudishe tu arhi ya wanyonge palestina wapate uhuru wao,mtetezi wa wanyonge kapatikana.
Na wewe unaamini kabisa kuwa kombora moja kubeba vichwa 80? Hii sio US,Russia wala China hawana. Haya limepigwa sasa limeleta madhara gani?
 
Iran's UN Mission Responds to President Trump:

No Iranian official has ever begged at the gates of the White House.

The only thing more despicable than his lies is his cowardly threat to 'eliminate' Iran's supreme leader.

Iran does not negotiate under pressure, will not accept peace under pressure, and certainly not with a warmonger who clings to shreds of relevance.
Wanataka wafie msalabani
 
Back
Top Bottom