SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wana usalama Iran wamekuta kilogramu 127 za vilipuzi kwenye nyumba mjini Tehran..
Mossad bado wanapigiwa msako mkali..
Too late mpaka ukiona counterterrorism mna kua active baada ya kushambuliwa badala ya kuzuia na kutibua mipango kabla ya kuleta madhara ndani ya nchi ujue kuna loophole kwenye idala

Sleeper Agents wa mossad bado wapo wengi mbaya zaidi Wengi ni warabu na kutoka India
 
Iran new weapon towards Israel
20250618_195125.jpeg
 
Dah huyu Mossad agent anakimbia balaa pikipiki inafuata nyuma asee...
Mossad agent amekamatwa akiwa na milipuko kwenye truck...
Mossad wanaidi kukamatwa kama panya, Ian sasa kuna safisha safisha ndani, sio wapo kimya...
Ndio maana US na Israel wanatoa taarifa watu wa Tehran wahame, hii ni kuwapanjia Mossad agent wajichanganye na raia na kupotea Tehran, lakini msako mkali unaendelea...


View attachment 3375026
mfuaji
 
Iran hajapigika.. Iran inapambana na US na Israel, Iran mashambulizi yake yanazuiwa na nchikaribu nne na zote zinashindwa kuzuia..
Suala la general wake kuuawa ilikuwa ni suala la kufail kwa inteligence, na sasa wanafanyia kazi, kumbuka pia US ili watrick kijanja... lakini ni fundisho wamepata..
Iran ni kubwa jinga sana aisee la nchi kama Israel kamemchezeshea kichapo kikali sana daah
 
Dah huyu Mossad agent anakimbia balaa pikipiki inafuata nyuma asee...
Mossad agent amekamatwa akiwa na milipuko kwenye truck...
Mossad wanaidi kukamatwa kama panya, Ian sasa kuna safisha safisha ndani, sio wapo kimya...
Ndio maana US na Israel wanatoa taarifa watu wa Tehran wahame, hii ni kuwapanjia Mossad agent wajichanganye na raia na kupotea Tehran, lakini msako mkali unaendelea...


View attachment 3375026
Mossad muoga kinyama 🤣 itakuwa ni muhindi huyu
 
Hizi habari za kufanya mazungumzo ni kama uzushi.
Maana viongozi wa Iran wanaongea tofauti.
Wacha iwe kweli ndugu yangu shatani apite hiii Vita mshindi kupatikana ni Shida!!!

Iran atapiga lkn nayeye atapigwa vifo vitakuwa vingi.. !!!

Israel imetumia Ugaid kupiga Battery za ADS sio Kijesh !!!

kama sio ivyo ISRAEL ingelazimika kuSurrender !!!

zipo crip Waisrael wanasikika baada kuona kiponda kuwa kikubwa waliomba Serikali yao kuSurrender kwa Iran.
 
Jana kuna MOssad agent video ilitoka hapa, akiwa anakimbizwa, jamaa alijaribu kunywa cyanide pill, hii ni sumu kali, ukimeza kidonge cha cyanide huchukui muda, hii sumu inazuia uwezo wa mwili kutumia oxygen, unakata moto chap kwa haraka...

Jamaa kakamatwa mzima, mpaka alitaka kujimaliza ina maana huko wanapopelekwa nadhani kuna mazito yanawakuta.. provided hao ndio wachora ramani wa mauajiwa generals wa Iran.. sipati picha ndio maana jamaa anaona ajiue tu...
Hakuna kipya,ni kawaida na ni kiapo kwa Jasusi kujiua maana adhabu yao inafahamika
 
Sasa hii itakuwa ni ( +)punishment au (-)
 

Attachments

  • TikTok_7517074342853872926.mp4
    4.4 MB
Wacha iwe kweli ndugu yangu shatani apite hiii Vita mshindi kupatikana ni Shida!!!

Iran atapiga lkn nayeye atapigwa vifo vitakuwa vingi.. !!!

Israel imetumia Ugaid kupiga Battery za ADS sio Kijesh !!!

kama sio ivyo ISRAEL ingelazimika kuSurrender !!!

zipo crip Waisrael wanasikika baada kuona kiponda kuwa kikubwa waliomba Serikali yao kuSurrender kwa Iran.
Waisrael waliomba kusurrender kwa Iran? Hii si kweli
Lakini pia sio waisrael wote wanapenda kinachoendelea na sio wpte wanampenda Netanyahu
Hivyo hivyo kwa Iran pia, wapo wananchi wa Iran hata sasa wanataka Iran kusurrender kwa Israel.

Moral of the story ni kuwa lazima kuna wananchi wachche watakua wanataka jambo fulani, hivyo haihalalishi kuwa nchi nzima inataka hivyo
 
Back
Top Bottom