Anti-monitor
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 518
- 794
Chanell zangu nyingi ninazocheki ni vita vya nyuma kama vile Voiceofpalestine, jamaa ni Mrusi ila mwenye asili ya Palestine, ana link na kwao so ana video nyingi za Gaza ambazo hupati kwengine.Mkuu ni channel gani reliable kwenye Telegram?
Ukubali ukatae Leo siku ya ngapi Iran anafumuliwa ndani kwake kizembe namna hii na tunajua Iran ndio alikua untouchable apo middle East na bado BABA Lao US hajaingiaYahudi akiwa pekeake hawezi simama hata na somalia kwa sikukumi lazima awe amechakaa ndo maana netanyahu alianza kumlilia trump aingilie
Sasa mbona hawa jamaa wanapigwa kama watoto wadogo?? wamekua kaa Congo ya Tshisekedi?? Na toka juzi makombora yao yamepungua sana kutoka 100 hadi sijui 5...Naona kama Iran kwishney sasa hivi hawajitetei tena. Soon wataanza " Pray For Iran", maana huko Gaza sasa hivi kumekua vifusi hata Kibera inaonekana ni bonge la city na watu wanashindia mikate na maji..Muda utaongea tu.Israel bado inaendelea kushambulia sehemu mbalimbali za Tehran muda huu kwa makombora
View attachment 3374839
Tusubiri na wao leo usiku reaction yao itakuajeSasa mbona hawa jamaa wanapigwa kama watoto wadogo?? wamekua kaa Congo ya Tshisekedi?? Na toka juzi makombora yao yamepungua sana kutoka 100 hadi sijui 5...Naona kama Iran kwishney sasa hivi hawajitetei tena. Muda utaongea tu.
Nikuulize swali tu Hapa Tanzania habari za uhakika za Chadema kati ya JF na Mwananchi nani anatoa info za uhakika?Anakupotezea tu muda, media reliable zipo kwenye mitandao yote. Haiwezekani media ya nchi husika ikupe habari ya propaganda kwenye Instagram alafu kwa habari hiyo hiyo ikupe ukweli kupitia telegram. Au telegram Kuna malaika alafu Instagram na Twitter Kuna mashetani?
Hezboullah wameiambia media moja ya Al hadath kuwa wataingia vitani endapo utawala wa Iran utapokaribia kuanguka
View: https://x.com/Osint613/status/1935335390614888708?t=uS015nmGSvnp0j6bzdAS1A&s=19
Yaani unamalizwa mchana hujitetei unasubiria usikuTusubiri na wao leo usiku reaction yao itakuaje
Alichosema Ayatollah Khamenei mchana kinaenda tofauti na kinachofanya serikali kwa sasa.Hahahaha kwanini wasubiri mpaka kuharibike kabisa na pia hizo silaha za kupigana watazitolea wapi?
Muda huu zipo taarifa serikali ya Iran ipo mbioni kufanya mazungumzo
Hezboullah wameiambia media moja ya Al hadath kuwa wataingia vitani endapo utawala wa Iran utapokaribia kuanguka
View: https://x.com/Osint613/status/1935335390614888708?t=uS015nmGSvnp0j6bzdAS1A&s=19
Trump naye mtu wa propaganda sana.Trump:
Iran agreed to come to the White House for talks on the nuclear program
Trump: Iran approached me, offered to come to the White House, that was enough for me, just unconditional surrender
Iran wanaonyesha unyonge sasa hapo. Mchana Khamenei alitoa press ya nguvu kuwa hata siku moja hatakubali kukaa kujadili chochote na kuhusu israelTrump:
Iran agreed to come to the White House for talks on the nuclear program
Trump: Iran approached me, offered to come to the White House, that was enough for me, just unconditional surrender
Hizi habari za kufanya mazungumzo ni kama uzushi.Muda huu zipo taarifa serikali ya Iran ipo mbioni kufanya mazungumzo