Kwa mimi nionavyo huwenda kuchezeana kiintelijensia kunaweza kurudi kama vita ya 1980.Iran wasikubali unyonge. Wakikubali tu unyonge basi maisha yao yote watakua chini ya marekani
Ni gari ndiyo zina fyatuaUnajua maana ya launcher site wewe,hizo missile zinarukaje bila launchers?
Labda makamanda, wameangalia stock ya silaa wakaona hakuna kituIran wanaonyesha unyonge sasa hapo. Mchana Khamenei alitoa press ya nguvu kuwa hata siku moja hatakubali kukaa kujadili chochote na kuhusu israel
Kabla ya kusogelea hayo maeneo ukaguzi utakuwa umefanyika kablaNatafuta Network mimi..Iran tunaenda kujilipua Pentagon
We jamaa umekuwa kama kp kipanya44 wa kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine.Katibu wa serikali wa Israel anasema wataendelea kushambulia kwa kuwa wapo nje ya muda
Mi nipo mkuu niko na ayatollah bega kwa bega.Naona Pro Iran wote wamekimbia
😹atakua ni yeye kwa avater tofautiWe jamaa umekuwa kama kp kipanya44 wa kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine.
Trump muda huu anasema pamoja na Iran kutaka negotiations lakini yeye anataka Iran wasalimu amri bila masharti(unconditional surrender)
View: https://x.com/Osint613/status/1935342368456380524?t=kxXjLhbTH5A3tV24KSgNpw&s=19
Napenda sana vita vitaWe jamaa umekuwa kama kp kipanya44 wa kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine.
Moto wa Leo wa yahudi si wa kitotoNaona Pro Iran wote wamekimbia
Watakuwa wapole kama IraqKwa mimi nionavyo huwenda kuchezeana kiintelijensia kunaweza kurudi kama vita ya 1980.
Ila kusema Iran iiname moja kwa moja ni ngumu.
Ila wacha tuone muda ndio mwalimu mzuri.
Sio za Jana ni leo. Jana alitweet, Leo kaongea live na alikua akiulizwa maswali kutokana na alichosema Jana na pia ameulizwa kuhusu alichosema ayatollah Khamenei leo. Yote kajibu tena vile vileHabari mbona za Jana hizi?.