SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

JF ni moja ya jukwaa la majadiliano linaloongoza wanachama wake wengi kuwasilisha mada au kutoa maoni bila kufikiria mara mbili.

Sasa mada imeletwa lakini hakuna chanzo chochote cha habari cha kuaminika kilichoambatanishwa. Kwani hatuwezi kuwa kama watu wa nchi nyingine
? Ile sifa kuwa TZ inawatumiaji wengi wa Internet inaweza kuwa kweli na inawezekana kuwa watumiaji walio wengi ni watu wenye uelewa mdogo wa kujadili na kuchambua na kuwasilisha.
Vyanzo vipi unavyovitakaaa.
Kwani taarifa ni mpaka bbc cnn?
 
Hili neno propaganda mnalitumia kila muda si ajabu hamjui maana yake

Leo ayatollah Khamenei amessma nini kuhusu mazungumzo?? Unataka kusema aliwaongopea wananchi wa Iran?
Uelewa wenu mdogo, ayatollah kamjibu Trump kauli ya jana ya kujisalimisha, ayatollah kasema hawajisalimishi
 

Attachments

  • 2025_06_18_17_48_10.mp4
    25.9 MB
Yaani unachakwazwa mchana kutwa hujibu unasubiri Giza liingie,sasa hizo nguvu na silaha utazipata wapi huo usiku.
Kwani mchana huwa hatushambulii!?..dozi yetu alfajiri, alasiri, usiku
Kobazi wamemfanyia upasuaji wa pua mteule
 

Attachments

  • IMG_20250615_011200_406.jpg
    IMG_20250615_011200_406.jpg
    91 KB · Views: 14
Back
Top Bottom