Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Launcher zipo aina nyingi zinaweza kuwa za fixed land launcher na mobile launcher ambazo ndio hizo za gariNi gari ndiyo zina fyatua
Launcher zipo aina nyingi zinaweza kuwa za fixed land launcher na mobile launcher ambazo ndio hizo za gariNi gari ndiyo zina fyatua
Hata mimi ndo nashangaa! kwamba wakirusha makombora yao wanaogopa yatagongana na ya israel au?😅Yaani unamalizwa mchana hujitetei unasubiria usiku
Wakapandisha bendera nyekunduIran wakikupiga mikwara unaweza ukafa.
Yaani ni kama Mandonga, Jana walisema pigo watakapofanya usiku Dunia haitasahau miaka 100😂😂😂
Waziri wa mambo ya nje wa Israel anasema hakuna mazungumzo yoyote dhidi ya serikali ya Iran
Wataendelea na mashambulizi mpaka lengo lao litapotimia
View: https://x.com/Osint613/status/1935344716700168608?t=Uo6mrY8lL8AvFvbFe4JZKg&s=19
Pitapita israel ukatazame magofu, serikali inazuwia watu kuondoka lakini wateule wanaondoka kimagendo kwa boat kuelekea cyprusWakapandisha bendera nyekundu
Ngoja tusubiriMwenye mazungumzo ni marekani siyo israel,na ndege za serikali za Iran zimeelekea oman muda huu, senate na wamarekani hawataki marekani ipigane vita vya netanyahu
Trump amewajoke Iran kuwa kwa miaka 40 walikua wakiimba "death to America", lakini ukirudi miaka 15 nyuma alisema hawezi kuwaacha Iran wamiliki nuclear
View: https://x.com/Osint613/status/1935343721534664735?t=vzZZ0AtMvtCHwKv5KCIj9Q&s=19
Hahahaha mmekubali mazungumzo sasa mamamaeee,kweli Iran ni zaidi ya Mandonga.Mwenye mazungumzo ni marekani siyo israel,na ndege za serikali za Iran zimeelekea oman muda huu, senate na wamarekani hawataki marekani ipigane vita vya netanyahu
Iran alikua akienda kwenye mazungumzo, netanyahu ndiye aliyeyavuruga,acha kubeba tu propaganda za wazayuni
Kipigo mlichopata leo hamtakisahau na sijui kama usiku mtarusha hata pipa mojaMiaka 15 nyuma Trump alikua nani usa?
Iran alikataa mazungumzo!?..j2 iliyopita ilikua ya mazungumzo, netanyahu akaona ayavuruge sababu deal ilikua inakaribiaHahahaha mmekubali mazungumzo sasa mamamaeee,kweli Iran ni zaidi ya Mandonga.
Tukirusha utanipa washeli niisugue!!Kipigo mlichopata leo hamtakisahau na sijui kama usiku mtarusha hata pipa moja
Hili neno propaganda mnalitumia kila muda si ajabu hamjui maana yakeIran alikua akienda kwenye mazungumzo, netanyahu ndiye aliyeyavuruga,acha kubeba tu propaganda za wazayuni
Hahahaha inaelekea umezoea hiyo michezo,mwanaume kuweka ahadi hizo ni ishara kuwa umezoea kusuguliwa rinda.Tukirusha utanipa washeli niisugue!!
Iran ni mandonga wa middle East kelele nyiiingi check kitu anafanywa nowWakapandisha bendera nyekundu