City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ngoja tusubiri sababu Kuna nddge ya serikali ya Iran imeondoka Tehran muda si mrefuTrump naye mtu wa propaganda sana.
Ngoja tusubiri sababu Kuna nddge ya serikali ya Iran imeondoka Tehran muda si mrefuTrump naye mtu wa propaganda sana.
Its too late,kipigo cha leo kimeimaliza kabisa Iran sidhani kama hiyo usiku wataweza kurusha kombora hata moja. Pia Netanyahu hatakubali sababu hii ndio opportunity iliyobaki.Alichosema Ayatollah Khamenei mchana kinaenda tofauti na kinachofanya serikali kwa sasa.
Serikali ya Iran imeamua yawepo mazungumzo kuhusu mpango wao wa nuclear.
Iran wakikupiga mikwara unaweza ukafa.
Ndio nasema ngoja tusubiri muda si mrefu tutapata majinu ya uhakikaHizi habari za kufanya mazungumzo ni kama uzushi.
Maana viongozi wa Iran wanaongea tofauti.
Utawala unaoenda kuanguka lazima kuwe na kutofautiana sababu kila mtu anapigania maslahi yake.Hizi habari za kufanya mazungumzo ni kama uzushi.
Maana viongozi wa Iran wanaongea tofauti.
Unaweza sema kuna serikali mbili tayariAlichosema Ayatollah Khamenei mchana kinaenda tofauti na kinachofanya serikali kwa sasa.
Serikali ya Iran imeamua yawepo mazungumzo kuhusu mpango wao wa nuclear.
Inaonesha inaelekea wapi?Ngoja tusubiri sababu Kuna nddge ya serikali ya Iran imeondoka Tehran muda si mrefu
View attachment 3374910
Launchers ni magari kwa iran wacha kuvuta ugoro kijanaLaunchers nyingi zimepigwa, na ndio target ya Israel.
Utawala hauanguki wewe endelea kujidanganya hapo Buza.Utawala unaoenda kuanguka lazima kuwe na kutofautiana sababu kila mtu anapigania maslahi yake.
Jana serikali ya Iran ilisema itafanya shambulio israel ambalo litabaki historian kwa vizazi na vizazi, lakini haikua hivyoIran wakikupiga mikwara unaweza ukafa.
Yaani ni kama Mandonga, Jana walisema pigo watakapofanya usiku Dunia haitasahau miaka 100😂😂😂
Unajua maana ya launcher site wewe,hizo missile zinarukaje bila launchers?Launchers ni magari wacha kuvuta ugoro kijana
Ngoja tuone itakuaje.Trump anasema Iran they are completely defenseless
Iran wasikubali unyonge. Wakikubali tu unyonge basi maisha yao yote watakua chini ya marekaniNgoja tuone itakuaje.
Hii hatariTrump:
Iran agreed to come to the White House for talks on the nuclear program
Trump: Iran approached me, offered to come to the White House, that was enough for me, just unconditional surrender