SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Waziri wa ulinzi wa Israel akissma wataendelea kushambulia kila sehemu muhimu ya Iran
20250618_164154.jpg
 
Utaniambia nakupa siku 7 mbele pumba zangu utaziona Mchele mweupe super

Sio kweli hiv unakuwa wanajeshi 20000 ni Wengi sana Hilo lingekuwa pigo kubwa na asingesubutu kurusha F-35 IRAN
Cheki unavyoandika pumba.
 
Katika post zako zote hii ndio umeongea uhalisia namna ulivyo. Kitu ambacho nadhani wayahud n Israel wamefeli nikua walidhani wakiishambulia Iran wananch wataandamana lakini hao ni Persians kwenye mambo ya vita huwa wanaungana na kibaya zaidi Israel and USA wanaona shida ni Iran nasio Ayatollah. Kwahio hapo ni pagumu. Israel imejaribu kupiga Vinu vya Nuclear lakini haijafanikiwa, Kama wakifanikiwa bas Iran nae naamin atapiga kinu cha Israel jambo ambalo litakua baya kwa pande zote.

Jambo lingine ningumu kuivamia Iran aridhin kulingana na Jografia yake, pia ikienda vita ya muda mrefu Israel hataweza kuhimili kulingana na nchi yao ni ndogo kieneo kulinganisha na Iran, pia population ya Iran nikubwa kuliko Israel na bahati mbaya Uturuki anaonekana hakubalian na alichokifanya Israel jambo ambalo linaleta ugumu. Kuna baadhi ya taarifa zisizo rasmi zinasema agents wa URUSI wanafanya kazi ya kurestore ADS software kutokea Uturuki.

Russia na France naona Wana approach nzuri kuliko USA juu ya kumaliza hivi vita.


Ngoja tuone lkn I can bet, Iran itapigwa USA& ISRAEL watatumia tactical nuclear kumkalisha lakini sio jambo dogo, Maana 20% ya mafuta ya China yanatokea hapo Iran kwahio mchina atamsaidia IRAN hata kwa njia za panya.
Mbona inasemekana under kubwa za kivita za china ziliruja zipofika anga y a Iran zikazi a transponder
 
Back
Top Bottom