SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Unajua wewe unatoa habari nyingi za uongo mpaka unajichanganya. Mbaya zaidi ukiambiwa ukweli unasema watu wamechagua upande.

Mousavi mlitoa taarifa kuwa kauawa na sasa hivi unabisha, unasema kuwa mimi nachanganya taarifa. Pitia taarifa zako nyingi utaona jinsi unavyotoa taarifa zako.

Ulitoa habari jana kuwa Tehran imeshambuliwa hali ya kuwa dakika chache zilizopita kuwasiliana na watu wa Tehran wakasema hakuna kitu kama hicho!

Taarifa nyengine iliyokuwa inazunguka humu ni kwamba Mahmoud Ahmednijaad ameuawa.

Nilikuambia hajauwa na taarifa kama hiyo haipo na wala familia yake haijashambuliwa.

Masaa machache yaliyopita amewaambia wairan kuwa yeye na familia yake wapo wazima wa afya.

Suala si kutetea upande, suala ni uhalisi wa taarifa. Taarifa zako nyingi ni za uongo.
Unachotakiwa ni kuquote post aliposema Mousavi ameuawa au source iliyosema hivyo ili kumuumbua
 
Baadhi ya taarifa zinasema raisi mstaafu Mahmoud Ahmednejad ameuwawa na Israel

Bado ukweli haujajulikana Kama ameuwawa kweli na ameuwawa na nani.
Mahmoud Ahmednejaad ametoa taarifa kuwa ni mzima wa afya yeye na familia yake.

Tangu jana hili nilikuambia, na yeye ameshaliwema wazi na kusema yupo hai yeye na familia yake. Habari iliyotolewa kuwa ameuawa yeye na familia yake ni vita ya ki propaganda.

Kama kumuuwa labda muanze leo na kuendelea.
 
Unachotakiwa ni kuquote post aliposema Mousavi ameuawa au source iliyosema hivyo ili kumuumbua
Ulichokisema ni cha umuhimu na chenye msingi mzuri. Changamoto itakuja kwenye kutafuta hiyo post kila kurasa itanichukulia muda.

Yote juu ya yote, tuiache ibaki hivyo! Akiamua kukubali ni sawa! Akiamua kutokukubali pia ni sawa!

Kadri anavyopost ndivyo kadri muda utakavyomuweka wazi na kujua ithibati juu yake wa alivyovipost.
 
RUSSIA NA CHINA ndio wapo Close uyo Pakistan ndio mnafiki awezi kusogea kusaidia zaid ya M'domo tu !!!

RUSSIA na China wanajua Iran yupoje kwasababu wana ushirikiano mkubwa wa Kijesh kuliko uyo Pakistan ambae ni Puppet wa Marekani kijesh!!!

mm sijaona usaliti wa RUSSIA au China kwasababu Iran bado ipo imara sana kijeshi kwasasa ni mapema mno kuweza kuwalaumu.!!!

tukumbuke pia RUSSIA akikubali Iran idondoke nayeye ataumia vibaya sababu Wazungu wa Magharibi wataacha kununua GAS yake wataenda Iran !!!

Iran Duniani ni nchi ya pili kuwa na Ifadhi kubwa ya GAS !!

Pia mafuta ya petrol ya Iran ndio mazuri zaid kuliko ya jilan zake wote.. !!!

nani ataumia zaid kama sio yeye Ukimya wao wanajua Iran ashindwi ktk hii Vita !!!

Jesh la Iran juzi lilitangaza litakwenda Israel kupitia njia ya Chini yani Jesh la Ardhin kuvamia Israel!!!

kama nikweli embu tupime Umbali kutoka Iran kwenda ISRAEL !!

na kutoka IRAN kwenya RUSSIA kupitia Bahari ya CASPiAN !!

JE kama pafupi kwenda RUSSIA unajuaje kama awajajenga njia ya Ardhini chini kwa chini kwenda RUSSIA !!

Tusisaau Iran na RUSSIA zimetenganishwa na maji tu. au tusema kiwepesi wanapakana kupitia mpaka wa majini na RUSSIA wamepakana na China na pamoja na Korea kaskazini !!!

kwaiyo hiii Show sio ndogo ndugu zangu kimya cha RUSSIA msikizarau RUSSIA ni MAJASUS No1. !!!

Uwezi jua pengine Wanataka Marekani achomolewe Mashariki ya kati. Mazima kupitia Iran mshilika wao,,
Ukiwema iran bado wako vizur kujeshi i doupt, IAF wana conduct military airstrikes as if hawana air defence hiyo sio dalili nzuri

Adui anatawala anga lako, anaua hadi viongoz na kurudi?

Hapana hawako vizur kama unavyosema?
 
“Israel only has enough missiles to defend itself for 10 TO 12 DAYS against Iranian strikes, according to the Washington Post, which cites US and Israeli officials.Continuous Iranian strikes deplete Israeli stockpiles, so Israel may soon have to ration its defensive munitions and intercept fewer missiles.”
 
Ukiwema iran bado wako vizur kujeshi i doupt, IAF wana conduct military airstrikes as if hawana air defence hiyo sio dalili nzuri

Adui anatawala anga lako, anaua hadi viongoz na kurudi?

Hapana hawako vizur kama unavyosema?
Naweza sema bado wako vizuri mkuu.
Maana mashambulizi anayopokea ni mengi kwa wakati mmoja ya drone na fighter jets ila anaya contain mkuu,na baadhi ya drone zinaangushwa.
Pia inasemekana baadhi ya fighter jets zimeangushwa.
Pia wakati huo huo na yeye anashambulia pia.
Tuseme bado yuko vizuri,ingekua taifa lingine mathalan Saudi Arabia au Jordan tungeshasema kwaheri.
Kuuawa kwa viongozi ni kwa kutumia mapandikizi waliomo ndani ya Tehran.
Pia inasemekana Israel imeanza kutumia hadi suicide bombs humo Tehran.
 
Wewe jamaa ndo unaandika pumba sijawahi ona.
Utaniambia nakupa siku 7 mbele pumba zangu utaziona Mchele mweupe super
Netanyahu ni kiongozi mkuu lazima ataleta siasa za propaganda na udanganyifu ili kupooza taharuki kwa anaowaongoza.
Mfano mdogo alidanganya wanajeshi waliouawa ndani ya Gaza ni 230+ kumbe ni 5000+.
Majeruhi alisema hawazidi 1000.
Kumbe sio tu majeruhi bali wanajeshi waliopewa ulemavu wa kudumu ni 12000 wa Israel.
Sio kweli hiv unakuwa wanajeshi 20000 ni Wengi sana Hilo lingekuwa pigo kubwa na asingesubutu kurusha F-35 IRAN
 
Kilichowagharimu Iran ni kupitisha msako mossads wakati tayari wameshaanza kushambuliwa. Hawa jamaa insemekena Hadi kuanza kukamatwa wameshaharibu ADS zaidi ya sabini. Wameshaoandikiza tracking devices kwenye karibu Kila equipments na magari ya watu wanaowataka kuwaeliminate.

Kama mmeweza Leo KWA nini hamkifanya kabla wakati mlijua hayo yangetokea? Na Iran inasifika pia KUWA na intelligence ya maana.
Kilichowaumiza zaidi Iran ni Trojanhorse yaani Adui wa ndani kuliko mashambulizi ya ndege. Israel asingeweza kuruhusu hizo hujuma anajua hasara yake.

Kama adui anategemea anga, ADS zilipaswa kulindwa KWA nguvu zote
 
Naweza sema bado wako vizuri mkuu.
Maana mashambulizi anayopokea ni mengi kwa wakati mmoja ya drone na fighter jets ila anaya contain mkuu,na baadhi ya drone zinaangushwa.
Pia inasemekana baadhi ya fighter jets zimeangushwa.
Pia wakati huo huo na yeye anashambulia pia.
Tuseme bado yuko vizuri,ingekua taifa lingine mathalan Saudi Arabia au Jordan tungeshasema kwaheri.
Kuuawa kwa viongozi ni kwa kutumia mapandikizi waliomo ndani ya Tehran.
Pia inasemekana Israel imeanza kutumia hadi suicide bombs humo Tehran.
Iran ameangusha confirmed ndege ngapi mpaka sasa?
Ambazo ni confirmed kutoka kwenye source ya uhakika?

iran hahaweza ku contain , viongoz wake wanaondolewa kwa simila airstrikes, maeneo muhimu yapigwa kwa similar airstrikes?

Una contain vipi wakati watu muhimu na site muhimu zinazid kuondoka?
 
Hadi sasa confirmed ni 4.
Ndio anaya contain kulingana na ukubwa wa shambulio.
Israel inaishambulia Iran kwa kutumia zaidi ya fighter jets 100.
Unadhani hiyo ni idadi ndogo ya ndege za mashambulizi!??
Kama ingelikua nchi nyingine baas tungeshaipa mkono wa buriyani.
 
I doupt ni ndege 4, provide me with source lakin pia israel kutumia ndege nyingi sababu wana attack multiple targets at once

Kama iran inaruhusu 100 mpaka 200 planes kwneye airspace yao, hawana defence yoyote, hawana uwezo w akujikinga by any means
 
Hakuna nchi hata hiyo USA inayoweza kujikinga 100% effectively na mashambulizi ya ndege 100+ tusidanganyane mzee.
Hiyo Gaza yenyewe imegeuzwa kifusi kwa ndege zisizozidi 10.

Hata kama anapiga multiple targets kwa kutumia ndege 100+ ni nyingi sana,tena targets zingine zinafeli,juzi wamejaribu kulipua Natanz wakafeli Iran ikazuia shambulizi.
Unaweza ukawa unabisha ila think beyond the box ndege 100 na maafa kuwa ya kawaida Iran Ina contain mashambulizi.

Nitaleta hapa hiyo habari ya hizo ndege zilizoangushwa soon.
 
Nafikri unashindwa kufahamu how IAF wana conduct operashion
Missiona za israel ni intelligence driven, hawakurupuki
IAF ahawakuamka na kurusha ndege nyingi over night
Tayari walikuwa na operatives wao ndani ya iran, walisha mark SAM sites za iran na maeneo muhim ya air defence

Flight sortie ya kwanza kabisa ililenga kuharibu air defence ya iran, na wakafanikiwa kweli kweli
After airdefence , anga la iran likabaki wazi.

iran ana retaliate lakin inakuwa sio effective, why? Sio intelligence driven na hawakujipanga

USA in other side huwezi wavamia kama iran, wana multi layered air defence , kuanzia NORAD, AEW&C , over the horizon radar, mpaka uzifikie fighter jets na air defence ni ngumu
Sisemi ni impossible but watakuona kabla hata hujafikia airspace yao

Na hiyo ni element ya nchi iliyojizatiti kiulinzi.

Iran hawajafika level hizo bado. Na watapigika sana kwa aina ya ulinzi walionao
 
Wewe lete tu story za vijiweni lakini za ndege za Israel kuangusha hizo unadanganya mchana kweupe maana Iran hajaweza kuangusha ndege yeyote ya Israel mnachokifanya ni TAQIYYAH tu kusemao uongo kwa nia ya kujifariji baada ya kipigo ambacho ha kutengeneza kutoka Jeshi la anga la Israel.

Mlidanganya watu kuwa Jengo la Mossad limepigwa cha ajabu mnaleta hapa picha za AI na maandishi Mosad badala ya Mossad hii inaonyesha wazi kwa uongo mko kwenye Kiwango cha juu sana!!!
 
Nafikri unashindwa kufahamu how IAF wana conduct operashion
Missiona za israel ni intelligence driven, hawakurupuki
IAF ahawakuamka na kurusha ndege nyingi over night
Tayari walikuwa na operatives wao ndani ya iran, walisha mark SAM sites za iran na maeneo muhim ya air defence

Flight sortie ya kwanza kabisa ililenga kuharibu air defence ya iran, na wakafanikiwa kweli kweli
After airdefence , anga la iran likabaki wazi.

iran ana retaliate lakin inakuwa sio effective, why? Sio intelligence driven na hawakujipanga

USA in other side huwezi wavamia kama iran, wana multi layered air defence , kuanzia NORAD, AEW&C , over the horizon radar, mpaka uzifikie fighter jets na air defence ni ngumu
Sisemi ni impossible but watakuona kabla hata hujafikia airspace yao

Na hiyo ni element ya nchi iliyojizatiti kiulinzi.

Iran hawajafika level hizo bado. Na watapigika sana kwa aina ya ulinzi walionao
Haya pia ni maneno KWA sababu hivyo vitu vyote US haijatestiwa katika vita halisi. Hata mwanzo tuliamini ADS za Israel ambazo ni kama sura halisi ya ulinzi wa US hazipitiki lakini sio tu kupitia Hadi kupigwa kabisa na kuteketea. Huo mpangilio utabaki KUWA nadharia Hadi siku zitakapojaribiwa mubashara.
 
Back
Top Bottom