Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,690
- 6,730
... nainasemwa kwamba USA pekee ndiye mwenye kabomu ka kufukua eneo hilo'!!
hicho ulicho andika ni CRITICAL ANALYSIS?Uzi huu umejaa wapuuzi, hakuna critical analysis, hakuna data wala nini. Kila mtu anajiandikia ili mradi ana bando, upuuzi mtupu…
kwani tunafanya PHD THESIS ya "Demise of Persian Empire" 
Inshort kwenye mataifa ya pale mashariki ya kati ukiondoa wale anaoshirikiana nao Iran kila siku kufanya ugaidi hana msaada mwingine iwe quatar, saudia, uae na wengineWale Pro Iran mliokuwa mnamtegemea Pakistan awasaidie poleni sana
Ila na haya yanayo endelea Ayatollah amechangia kwa kiasi kikubwa maana washauri wake wamemshauri sana kuwa ili Iran ijihakikishie usalama inatakiwa kuwa na silaha za nyuklia yeye akawa ana kataa anasema eti dini hairuhusu.Iran anaishiwaje missiles wakai usiku kucha anapeleka moto..
JORDAN na SAUDIA wanatoa msaada kwa majeshi ya ISRAEL NA USA kimtindoInshort kwenye mataifa ya pale mashariki ya kati ukiondoa wale anaoshirikiana nao Iran kila siku kufanya ugaidi hana msaada mwingine iwe quatar, saudia, uae na wengine
Bado yupo kwenye nafasiHajafa,aliondolewa akawekwa mwingine
Wale Pro Iran mliokuwa mnamtegemea Pakistan awasaidie poleni sana
Madhala ya kukaririshwa matango poli. Kwanini sasa analialia kutaka marekani na NATO waingie kumsaidia?Yahudi anaweza kupiga na mataifa 10 ya kiislam na yote akatembeza dudu kwa wakati mmoja maana hiyo historia anayo na anatamba nayo
Iran maji kashayavulia nguo hana budi ayaoge japo hali wazi kwa upande wake ni teteJORDAN na SAUDIA wanatoa msaada kwa majeshi ya ISRAEL NA USA kimtindo
Pro Iran walikuja hapa eti Pakistan itai nuke IsraelHivi kwa akili yako unadhani Iran inaweza ikaitegemea Pakistan? 🤣🤣🤣
Hata US hataweza nimemsikia Resercher in politically and military affairs anasema hawezi kuivunja hio Nuclear station ya iranAsilimia zaidi ya 60 ya wamarekani waliohojiwa wamesema wanapinga shinikizo la Trump kutaka kuongeza nguvu kwa Israel kupiga maeneo muhimu ya Iran ambayo mpaka sasa yamehimili mapigo makubwa ya jeshi la Netanyahu.
Kinu muhimu kilichokusudiwa ni kile cha Fordow ambacho mpaka sasa imeaonekana mabomu mazitoa yaliyotumika yameshindwa kubomoa milima inayokizunguka kituo hicho.
Trump weighs joining Israel on strikes of Iranian nuclear sites
Kama vibomu vyao vimeshindwa watuite sisi twende na tindo zetu tukavunjeHata US hataweza nimemsikia Resercher in politically and military affairs anasema hawezi kuivunja hio Nuclear station ya iran
Nchi yako ikiwa vitani utapata muda wa kula?Hivi Frank Wanjiru huwa unapata hata muda wa kula kweli mwanetu?
Kwa hiyo wewe ni Myahudi?Nchi yako ikiwa vitani utapata muda wa kula?
Wamchukue Echolima1 atazitoa kutumia meno yamezowea kula kitimoto 😄 🤣Kama vibomu vyao vimeshindwa watuite sisi twende na tindo zetu tukavunje
Mkuu usitudanganye bana.Nafikri unashindwa kufahamu how IAF wana conduct operashion
Missiona za israel ni intelligence driven, hawakurupuki
IAF ahawakuamka na kurusha ndege nyingi over night
Tayari walikuwa na operatives wao ndani ya iran, walisha mark SAM sites za iran na maeneo muhim ya air defence
Flight sortie ya kwanza kabisa ililenga kuharibu air defence ya iran, na wakafanikiwa kweli kweli
After airdefence , anga la iran likabaki wazi.
iran ana retaliate lakin inakuwa sio effective, why? Sio intelligence driven na hawakujipanga
USA in other side huwezi wavamia kama iran, wana multi layered air defence , kuanzia NORAD, AEW&C , over the horizon radar, mpaka uzifikie fighter jets na air defence ni ngumu
Sisemi ni impossible but watakuona kabla hata hujafikia airspace yao
Na hiyo ni element ya nchi iliyojizatiti kiulinzi.
Iran hawajafika level hizo bado. Na watapigika sana kwa aina ya ulinzi walionao