ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Acha ujinga ugaidi mnauoana nyie tuu?Kutetea Wapalestina mbona hata wazungu wanatetea? Shida ya Iran ni kudhamini ugaidi tu. Ilo ndio kosa lake kubwa
Acha ujinga ugaidi mnauoana nyie tuu?Kutetea Wapalestina mbona hata wazungu wanatetea? Shida ya Iran ni kudhamini ugaidi tu. Ilo ndio kosa lake kubwa
Nani gaidi?Kutetea Wapalestina mbona hata wazungu wanatetea? Shida ya Iran ni kudhamini ugaidi tu. Ilo ndio kosa lake kubwa
Wanasema ADs za Israel zimechoka... zipo confused.😂Iron dome zinayaonea wivu missile za Iran toka asubuhi zipo busy zinabutua tu Tel Aviv.
Chambua wewe si wengine wasomaji tuUzi huu umejaa wapuuzi, hakuna critical analysis, hakuna data wala nini. Kila mtu anajiandikia ili mradi ana bando, upuuzi mtupu…
🤣🤣🤣Mkipata kiongozi kama Zelewsky mshukuru sana hawa wengine huwa ni midomo tu. Saddam alikutwa kwenye shimo, Osama alikijificha huko Pakistan, Ghadafi mnajua kilichotokea. Assad alikimbilia Russia kuwekwa kinyumba na Putin. Ayatollah kakimbilia shimoni yeye na familia yake. Anataka kuishi. Hataki 72 bikras. Anawatanguliza wenzie.
View attachment 3373710
hii vita watu wameingiza mambo ya udini. Sehemu yoyote ukishaleta mambo ya ushabiki wa kidini ujue hapo hakuna cha maana kitapatikana.Uzi huu umejaa wapuuzi, hakuna critical analysis, hakuna data wala nini. Kila mtu anajiandikia ili mradi ana bando, upuuzi mtupu…
Unapendwa unabeba watu kwenye malori ?Nimejifunza mengi sana, yafuatayo ni baadhi tu;
1. CCM inapendwa na kutoka labda miaka 200 mbele
2. Simiyu hawako tayari kuwapa nafasi vibaraka
3. Mcheza kwao hutuzwa, mpina ni mbunge wao; ukitaka wamzomee?!!! Mbona hilo la kawaida sana enyi nyumbu?!!!!
4. Nyumbu hawana sera hivyo wamebaki kuokoteza vijihabari vidogovidogo vya kizushi kwa ajili kutafuta 'nitoke vipi'.
5. Wapinzani ni kama panya, survival yao inategemea uwepo wa binadamu Ili waokoteokote mabaki ya chakula kwa ajili ya kuishi. Vitu vidogo vidogo vya ccm na Samia ndo vimekuwa ajenda kuu ya chadema chakavu.
Karibu kwa swali jingine, nyumbu
Inasemekana mifumo ya ulinzi wa Israel imechok kwa kufanya kazi nito usku na mchana, yaani zina over work.. hivyo hali ni mbaya kwa sababu ufanisi wake umekuwa chini sana..Aisee hawa Israel ni mifumo yao ya ADS inafeli ama nini!?
Mbona wanajilipua sana aisee?
Chonde chonde AI aka akili mnemba/ akili bandia. Tunataka tuone uhalisia.Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:
Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka
UPDATE:
Israel imetoa onyo la kuwataka wakazi wa eneo la Manispaa lililoko kaskazini-mashariki mwa jiji la Tehran waondoke haraka kabla ya mashambulizi ya anga.
Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kwa lugha ya Kiajemi na Kiarabu, msemaji wa jeshi la Israel, Avichay Adraee, alisema jeshi litashambulia eneo la(District C)ikiwa na lengo la kulenga miundombinu ya kijeshi ya Iran.
“Uwepo wenu hapo unaweka maisha yenu hatarini. Kwa usalama wenu, ondokeni mara moja,” alisema Adraee.
Eneo hilo lina taasisi muhimu za serikali, ofisi za umma na mashirika ya mawasiliano na ujasusi.
Taarifa ya jeshi la Israel ilisema kuwa ndege zake za kivita zimeshambulia malori yaliyokuwa yamebeba silaha na makombora, yakielekea Tehran kutoka magharibi mwa Iran.
RUSSIA NA CHINA ndio wapo Close uyo Pakistan ndio mnafiki awezi kusogea kusaidia zaid ya M'domo tu !!!
Wewe nilijua lazima unachanganya hizi habari ndio maana nikataka utaje majina. Aliyeuwawa ni Ali shadmani. Hiyo habari ya Mausavi kuuwawa umeitoa wapi? Naomba tuwekee hapa tuone hiyo taarifa kuwa Mausavi kauwawa
Hata IDF taarifa waliyotoa asubuhi leo ni ya kuuwawa kwa Ali Shadmani na sio mausavi
View: https://x.com/MOSSADil/status/1934855196418392160?t=BWgWBZPnrB1Id-xB0kUDow&s=19
Ugaidi wa Hamas upi?Hamasi, Hezbollah, Houthi n.k sio magaidi? Kosugi