Dah, habari mbaya sana hii kwa Iran.Trump ametweet kua tayar wamecontrol anga la Irani
Dah, habari mbaya sana hii kwa Iran.Trump ametweet kua tayar wamecontrol anga la Irani
Yaweza kabisa kuwa kama Libya tiyari kuna serikali ya mpito mahala imebana.Nawe unadhani ni kitu rahisi?
Wewe ndy uko concern kuliko wenyewe Waajemi waliochoka na utwala wa ki imla wa Ayatollah??Nyie rukeni rukeni tu mida ya dozi zetu waajemi ni ile ile saa 11 asubuhi hadi saa 1 asubuhi saa za uku mtakua mme ita maji mma ,njee ya hapo ogopa mataperi
Waziri wa ulinzi wa uingereza ameeleza kuwa vikosi vya uingereza vinaelekea mashariki ya kati
View: https://x.com/Osint613/status/1935021939430686975?t=khU_H0Ki0GJmFQA7_Is62g&s=19
Uwongo ndege ndio zenye ufanisi kuliko makomboraNani kakwambia Iran anategemea ballistic missiles pekee?
Ila ndege na makombora kipi Bora?
Makombora Yana ufanisi zaidi kuliko ndege.
Another innocent neck, carrying a rotten pumpkin head
Sasa mbona Allah kamkimbia kafir hatoi msaadaSasa kama kubwa la makafir USA ameingia kazini unategemea Iran atapona?
Wewe nilijua lazima unachanganya hizi habari ndio maana nikataka utaje majina. Aliyeuwawa ni Ali shadmani. Hiyo habari ya Mausavi kuuwawa umeitoa wapi? Naomba tuwekee hapa tuone hiyo taarifa kuwa Mausavi kauwawaNdugu mtanzania, nina ndugu wapo Iran na nina ndugu wapo Yemen.
Hivyo, taarifa ninazozipokea kutokea Iran kwa wakaaji ni bora zaidi kuliko zinazoandikwa kwenye vyombo vya habari.
Major General Abdolrahim Mousavi ndiye Chief of Staff of the Iranian armed forces kwa sasa. Ambaye huyu ndiye mrithi wa Ali Shadmani ambaye aliuliwa juzi na Israel.
Taarifa zilizosambaa mchana ni kuwa Abdolrahim Mousavi ameuawa, hali ya kuwa bado yu hai.
Sasa show rasmi ndyo inaanza, madevu-kilemba (Ayatoulah) yuko chimboni amejifichaSijui ni nini kilimfanya Iran ajione anaweza kutoshana nguvu au kumpiga Israel huku akijua kabisa US, UK na Ulaya yote ipo nyuma ya Israel.
Ni nani aliyeanza kumshambulia mwenzake?Sijui ni nini kilimfanya Iran ajione anaweza kutoshana nguvu au kumpiga Israel huku akijua kabisa US, UK na Ulaya yote ipo nyuma ya Israel.
Ila nyumbu wa Chadema chakavu mpo kwenye tabu aisee!🤣🤣🤣🤣Ni sawa na Samia tu. Kila kundi na kila mahala hawamtaki.
Leo kadhalilika huko Kanda ya ziwa, kaambiwa live kuwa "tunakudai".
Mbona hata wewe hapo ulipo umezungukwa na mabashaIran keshazungukwa kijeshi dadeki
Tuzidi kuwaombea maana Baraza la ulinzi la Marekani Chini ya Trump limemaliza kikao cha maamuzi magumu muda huu
Iran na Tanzania ni ndugu wa muda mrefu
Ahsanteni sana 🇹🇿I🇮🇷
Makobaz hayajawahi kutawala pahala pakawa salama! Sijui wana shida gani.Iran inapaswa kurudi katika mfumo wake wa utawala wa kabla ya haya makobazi hayafanya mapinduzi yaliyoongozwa na lile punguani Khomein mfumo huo ni wa u-shah