SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wewe nilijua lazima unachanganya hizi habari ndio maana nikataka utaje majina. Aliyeuwawa ni Ali shadmani. Hiyo habari ya Mausavi kuuwawa umeitoa wapi? Naomba tuwekee hapa tuone hiyo taarifa kuwa Mausavi kauwawa

Hata IDF taarifa waliyotoa asubuhi leo ni ya kuuwawa kwa Ali Shadmani na sio mausavi

View: https://x.com/MOSSADil/status/1934855196418392160?t=BWgWBZPnrB1Id-xB0kUDow&s=19

:CaptFailFish:nani amekufa nani amenusurika inasaidia nini, regime change sasa Waajemi wenyewe wanitaka na wameipata fursa na itafanyika ASAP
 

Attachments

  • f43233f6421b025833edbafe085941ff_1750186188382.mp4
    8.1 MB
Ila nyumbu wa Chadema chakavu mpo kwenye tabu aisee!🤣🤣🤣🤣
Hivi angezomewa ingekuwaje?!!!! Kwingine kina macron wanapigwa mpaka vibao. Kwahiyo wenyewe mnaona mmeshapata pa kukamatia katika harakati zenu za kuchukua nchi?!!!!

Hebu kuweni watu wazima basi jamani, dah!!
Ila siumeona shangwe kwa mbunge umejifunza nini?
 
Nipo nawazoom tu wafuasi wa Trump wanavyodanganyika..
Iran bado imara... nchi haiwezi ku surrender kwa airforce..
waweke boots chini tuone kama kuna mtu atatoka..
Hizi propaganda za kipuuzi kweli kweli..

Yaani Iran ina surrender kisa jeshi la anga? hii ni futuhi.. kama ni vita sasa ndio inaanza..

USA ana kitu gani kakaa Afghan miaka 20 na kutumia trillions of usd mwisho wa siku hajafanikiwa regime change..
Ule uzi wako ulikuwa unapenda kukumbusha kuwa uliandika kitambo sijui upo wapi siku hizi 5?
 
Nipo nawazoom tu wafuasi wa Trump wanavyodanganyika..
Iran bado imara... nchi haiwezi ku surrender kwa airforce..
waweke boots chini tuone kama kuna mtu atatoka..
Hizi propaganda za kipuuzi kweli kweli..

Yaani Iran ina surrender kisa jeshi la anga? hii ni futuhi.. kama ni vita sasa ndio inaanza..

USA ana kitu gani kakaa Afghan miaka 20 na kutumia trillions of usd mwisho wa siku hajafanikiwa regime change..
.. :CaptFailFish: una skills njema sana za kujifajiri, Iran against all inatoboaje???
 
Back
Top Bottom