Nimejifunza mengi sana, yafuatayo ni baadhi tu;
1. CCM inapendwa na kutoka labda miaka 200 mbele
2. Simiyu hawako tayari kuwapa nafasi vibaraka
3. Mcheza kwao hutuzwa, mpina ni mbunge wao; ukitaka wamzomee?!!! Mbona hilo la kawaida sana enyi nyumbu?!!!!
4. Nyumbu hawana sera hivyo wamebaki kuokoteza vijihabari vidogovidogo vya kizushi kwa ajili kutafuta 'nitoke vipi'.
5. Wapinzani ni kama panya, survival yao inategemea uwepo wa binadamu Ili waokoteokote mabaki ya chakula kwa ajili ya kuishi. Vitu vidogo vidogo vya ccm na Samia ndo vimekuwa ajenda kuu ya chadema chakavu.
Karibu kwa swali jingine, nyumbu