SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nadhani wameona ni pagumu. Nchi ikishakuwa na mamluki au wasaliti kwenye vyombo vya usalama ni ngumu kuisadia . Muda wowote wanajeshi wako na zana zenu mnaweza kuuzwa. Ila kinachonishangaza ni kwamba Iran muda wote walikuwa hajui kama Kuna tatizo katika system Yao ya usalama
Mkuu, Israel kwa miaka mingi walipanga na Marekani na namna ya kuishughulikia Iran hivyo shughuli hiyo huitaji mipango, muda na resources za kutosha.

Hivyo isingekuwa rahisi kwa Iran kutambua hilo mapema ukizingatia kuwa wapo Wa-Iran wayahudi pia.
 
Ila Iran alikuwa amefika mbali sana kijeshi isingekuwa mbinu Yao ya mapandikizi huyo America na Israel wangepata shida sana
 
Kuna mshtuko mkubwa wa Iran na Ayatollah kutaka kusalimu amri muda wowote kutoka sasa

Please Iran msikubali piganeni mpaka tone la mwisho, wacha wawaalize wote lakini msikubali kusalimu amri
Vita ni pamoja na propaganda. Na kikubwa walichofanikiwa upande wa Israel ni kukamata media za kueneza propaganda. Na ndio maana Iran inaanza kampeni ya kuzima mitandao ya kijamii.
 
Vita ni pamoja na propaganda. Na kikubwa walichofanikiwa upande wa Israel ni kukamata media za kueneza propaganda. Na ndio maana Iran inaanza kampeni ya kuzima mitandao ya kijamii.
Propaganda zipo, lakini dunia ya leo ya teknolojia na smartphone hakuna tu utamuuzia propaganda za hovyo. Dunia nzima Kuna pro Iran kibao
 
Back
Top Bottom