ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Huyo ni mwanzilishi wa National Council of Iran ambae ndie atapewa jukumu la kuiongoza Iran na kufanya uchaguzi ili wapate "puppets" wa kueleweka.Nilitaka/namaanisha huo ukoo wa kifalme wa pahlavi
Mtawaonea tu, sasa watafanyaje?urusi na china ni wanafki
Hizi nchi na mambo yao watoa somo kubwa sana.urusi na china ni wanafki
urusi na china ni wanafki
Hakuna sababu ya kudondosha nuke sababu tayari wameshawatawala kila sehemuIsrael dondosha Nuke hapo.
Urusi amezidiwa na Ukrane, Mchina ana vitu fake, Korea kaskazini hajiaminiurusi na china ni wanafki
Itaisha muda si mrefu.Kwan vita vimeisha
Kapigwe pipe huko,usitafute mabwana kwa nguvu.Kuna taarifa kuwa wewe ni PUNGA.
Wangefanya hivyo kazi ingeisha tangia ijumaa.Iran kaniangusha sana,kashindwa kurusha missiles hata moja kwenye bases za Marekani.
Wakati ule mlipokuwa mnaunga mkono vile vitisho vya Ayatollah kuwa ataziangamiza kambi zote za Marekani hapo middle east mlikuwa mnamchukulia Marekani kama Chui wa karatasi sioUS wanawashwa washwa kweli dahhh hii ndio pona pona ya mzayuni.