SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Anapigana na Iran. Tena kwa kushirikiana na NATO.
Wakati anamchokoza hakujua kuwa ana ushirika na hao NATO? Mbona Iran imekuwa na amani kwa miaka mingi sana wakati ikifadhili na kufundisha makundi ya kumpiga Israel ndani kutokea ndaninya nchi zinazopakana na I Israel?

Haukuona Israel kwa miaka mingi anavyohangaika na makombora mara ya Hamas mara Hezbollah huku wananchi wa Israel wakikimbizana kwenye bunkers, wakati Iran wanatafuna tambuu, na kula kashata huku wavivuta shisha na kushushia Kahawa?

Vita ni pamoja na washirika ndiyo maana vurugu zote za Hezbollah na Hamas sifa na utukufu vilienda kwa Iran hadi watu wakasema Israel kama anaj8fan6a anaweza ajaribu kurusha hata jiwe tu pale Tehran.

Au umeanza kuifuatilia hii vita wiki iliyopita?
 
Wakati anamchokoza hakujua kuwa ana ushirika na hao NATO? Mbona Iran imekuwa na amani kwa miaka mingi sana wakati ikifadhili na kufundisha makundi ya kumpiga Israel ndani ya nchi zinazopakana na I Israel?
Haukuina Israel anavyohangaika na makombora mara ya Hamas mara Hezbollah huku wananchi wa Israel wakik8mbizana kwenye bunkers, wakati Iran wanatafuna tambuu, na kula kashata huku wavivuta shisha na kushushia Kahawa?

Vita ni pamoja na washirika ndiyo maana vurugu zote za Hezbollah na Hamas sifa na utukufu vilienda kwa Iran hadi watu wakasema Israel kama anaj8fan6a anaweza ajaribu kurusha hata jiwe tu pale Tehran.

Au umeanza kuifuatilia hii vita wiki iliyopita?
Unampa vitu ambavyo hataki kuviona mbele zaidi ya urefu wa pua yake.
 
Kuhusu suala la taarifa kila upande unaficha hata Iran kutwa nzima Israel anashambulia lakini hawatoi taarifa zozote, na kule vyombo kama BBC washapigwa marufuku, chombo tungetegemea ni Al Jazeera ila naye ameegemea upande wa Iran
Sasa hivi kama unataka taarifa zote nenda front we unataka taarifa zikukute kitandani🙂
Hata kwa urusi na Ukraine hata wao taarifa zao huwa ni vivyo hivyo ndio maana hadi saivi hata idadi ya wanajeshi waliofariki haijulikani ikitajwa ni uongo hadi we utasema hapa tumepigwa.
Anyway Tupe location ya ayatolah
Sawa, comment yako inasadifu uwezo wako wa kufikiri
 
aaa wapi. Israel ndio imepigika mpaka Trump kaahirisha kikao cha G7 si mchezo
Bila misaada ya west Israel ni zero kabisa
Kama wakuu wa nchi wana liwa kichwa kila leo sembuse majengo. Hao kobaz wao wanarusha tu popote litakapoangukia ni sawa kwao
 
Kinachosikitisha ni kuona waafrika (ngozi ya tako tu) kwa mujibu wa Iran na Waisrael mko tayari kutoana macho na huo mgogoro.

Hivyo vita ukielewa msingi wake ideologically (from historical) perspective sisi wa Africa havituhusukabisa.

Na upuuzi wa hali wa juu kuwa na upande.

Just shallowness ukisoma comments humu, watu wengi hawajui tu Jews ni watu wa aina gani.
Tufafanulie vizuri hayo madini Mkuu.
 
Barua ya balozi wa Marekani nchini Israel kwa Trump.
Umegundua nini?
Hammaz 100 others

GtpjJNmbQAE3ZE-.jpeg
 
Ndio maana Wairan hawampendi Ayatoulah yaani kipindi kama hiki kiongozi unajificha shimoni uanaacha nchi mlango wazi
Regime must fall✌️
Netanyahu si alikimbia kabisa na nchi

sasa mzee kama yule Ayatollah ata mkimuua atawasaidia!!!

aijawasaidia kufa kwa Wakuu wa MAJESH wenye Umuimu sana bado miji ya Israel imegeuka Gaza!!!

ije kwa Babu kama yulee, mnataka laana tu.
 
Maajabu!
Hii haijawahi kutokea duniani.


Makombora ya iron dome yanajilenga na kujipiga yenyewe, mengine yanageuza njia na kwenda kuibamiza Tel Aviv na kambi zao wenyewe za kijeshi:


View: https://youtu.be/T4zJKM44sbE?si=_8fOuviGJUszZhRp


Hiyo ni nini jamani kama si maajabu?

Mimi namshangaa sana mtu anyesali kwenye dini ambayo haijawahi kujenga chuo,hospitali au shule nchini mwake. Dini ambayo mpaka leo kwenye chimbuko lao kuna watumwa.
 
Cencorship na Youtube&google alogarithm imekuwa kubwa kuminya taarifa.
Nilisema mwanzoni hii vita itakuwa na information ambazo ziko very biased. Maana kuna upande unamiliki asilimia kubwa ya vyanzo vya habari na taarifa
Kama hutumii Telegram anza kutumia sasa hivi, Telegram unapata picha na video directly toka sehemu husika, follow reliable chanel za nchi husika. Huku YouTube, Twitter, FB, insta, Tiktok etc full propaganda.
 
Hapo kwenye nyekundu ni Nchi zinazoweza kufikiwa na mabomu ya nyuklia ya Israel
View attachment 3373215
Sawa kumbe yeye Anayo afu ataki wenzie pia wawe nayo sasa kiburi chake kimepelekea ajenge upya Miji yake !!!

IRAN kamwe awezi kukosa ndiomana Viongozi wake usema Wataifuta Israel kwenye uso wa Dunia.!!!

Kumbuka pia Nuclear Israel kapewa na Marekani !!

ivyo Ushwaiba wa North Korea na Iran unajuaje kama awajaficha uko Iran Nuclear!!!

Kumbuka pia Iran inajua Israel inavichwa 90 vya Nuclear !!!

lkn tazama tena miji yote ya Israel ilivyopigwa !!!

kisha jiulize Iran inajiamini nini kumpiga mwenye Nuclear kipigo cha mwana Ukome..!!!
 
Back
Top Bottom