SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Acha kujilisha matango pori.


Ulitegemewa Kwa VIFO vya mara Moja ya Wakuu wa MAJESHI Iran, Bado Taifa likajipanga ,likachagua chapchap, likarejesha Ulinzi anga chapchap.


Nmekuja gundua, hii Vita, Israel itaomba yeñyewe kusitisha vita.


Wairan wamecheza na Akili ya Israel, wamedeploy decoys mbalimbali , na Israel ilivyokua inazitungua, ikawa inatungua ikadhan unashambulia real target.
Eti eeh!! Hii ulituma jana. Sasa hebu tupe updates tujue yanayoendelea huko
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Russia hapigani na Ukraine, anapigana na mataifa 30+ ya NATO! Huo mziki hata USA mwenyewe hawezi.
 
Back
Top Bottom