Yupo kwa sana, walimbadilisha kutoka SBU kwenda GRUHuyu mtu alishakufa mkuu, kwani siku hizi unamsikia tena
😂😂😂Aliyeteuliwa kuchukua nafasi kauliwa pia
Exodus ya wakaazi wa Tehran kutii amri yapropaganda, Israeli ndio waliomba ceasefire..
Wamehack alert system ya israel, inatoa info hovyo,mara haitoiIran wanafuga midevu badala ya kuwapa train MAKOMANDO na ICT YAO wamekalia kuowana na kupeana HADITHI ambazo hazina mana
Huyo anaeimaliza ni nani??Wasaidie nini mkuu wakati hii show anaimaliza Muajemi peke yake huku akipambana na Israel+ Marekani.
Amebaki nyoka mwenyewe na ashaanza kuliaWasaidie nini mkuu wakati hii show anaimaliza Muajemi peke yake huku akipambana na Israel+ Marekani.
Hiyo ni mbinu ya kivita na kidiplomsia mkuu. Ni sawa na kauli ya Trump kwamba amezuia kuuawa kwa rais wa Irani.Macron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.😂😂😂😂😂
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
Mishoga mwaka huu mtafurumushwaKobaaz busha acha mahaba ya masjid Iran ndege ya kupeleke Israel hana na wala hatokuja kuwa nayo ataishia kurusha vijikombora vidrones basi
Oyaaaah, kuwa serious mzee wa kazi!Pakej mpya ya vimondo ishatumwa huko
mwanaume katuma missiles 20 tu, Haifa, Tel Aviv na Jeru kunafuka moshiOyaaaah, kuwa serious mzee wa kazi!
endelea kujidanganya tu kipigo kiko palepale tu kwa IranWamehack alert system ya israel, inatoa info hovyo,mara haitoi