Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Hakika nimefurahia huu ushindi
Hakika nimefurahia huu ushindi
Bro kwa Israel hakutegema kama angekutana na mkono wa Chuma pale Iran.Una uhakika mkuu
Yaani kabosa kabisa ukapigane na Iran usitegemee uzito utegemee wepesi tu kama unapigana na Comoro.
Hebu tuwe seriaz kidogo tunapochambua vita.
Sasa unataka upinzani gani wa Anga.kwani kuna battle ya anga inaendelea.ndege yoyote ile ikipita anga ya Iran inakutana na SAM.Jitahidi kutumia akili yako vizuri jiulize wewe mwenyewe jeshi la anga la Iran liko wapi! Jiulize kwa nini hajaonyesha upinzani wowote kwa majeshi ya anga ya Israel? Kama utashindwa kujibu maswali hayo basi Ubongo wako una matatizo ya kuzaliwa.
Ndege-Vita za Israel zinapita kwenye anga la Tehran bila wasi wasi harafu wewe unajitoa ufahamu maksudi . Kama Iran inadhibidi anga lake inakuwaje ndege za Israel zinajipigia tu popote zinapotaka? Kubali tu kuwa Israel ni Level nyingine kabisa si ya kupambana na Iran!!
Israel imeshashindwa vita.Moja kati ya strategies za vita ni kuhakikisha hauboost morale ya adui yako kwa namna yoyote!
Nina uhakika yule motherfuckerr Netanyahu analijua hili, subiri uone atakachotufanyia siku ya leo.
Kuna magaidi dunia hii zaidi ya Israel na hawara wake USA?Russia Hana uwezo wamemtenga sasa utamkili YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO KILAZIMA IRAN anaangushwa chap Kisha Israel anaangalia Taifa la Islamic lingine lenye nguvu lengo tunataka amani
Acha kuongopea watu.labda Iran wa Buza
At least umetia moyo.Taarifa za Israel zimezuiwa zinataoka za upande mmoja.
Hivyo kwa sasa wanataka wawalishe watu taarifa wanazotaka wao.
Muhimu ni kuangalia namna ambayo US inavyo react, ndiyo itakayokupambanulia kuwa ni kichapo kidogo au kikubwa.
Mbona haikutumia nuclear kwa India?Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
Iran anawapa misaada shehe sio utaniKuna magaidi dunia hii zaidi ya Israel na hawara wake USA?
Hizi ndizo ngome za magaidi. Acha kudanganywa huko kanisani bila kufanya self reasoning.
Unamtisha nani mpumbavu wewe kupigwa apigwe Iran kuumia uumie wewe ? tunataka kichwa cha Ulamaa Khomenei !Huwa siongeagi na psychopath.
Nakuignore ila kabla sijakublock Wacha nikuache na elimu kidogo.
China huwa haingilii vita kwa kutuma jeshi,ila husaidia nchi rafiki kwa silaha na fedha.
Russia ilisaidiwa silaha na China pamoja na fedha kujiimarisha dhidi ya vikwazo alivyowekewa na EU kwenye vita ya Ukraine.
Vivyo hivyo inaweza kufanyika kwa Iran, kwasababu Wana ushirika.
Aya uwe na siku njema psychopath.
China hutoa misaada ya kifedha na silaha.Aje sasa mbona hatumuoni. Ajae na yeye kwenye mfumo. 😆😆 ila kobazi
Marekani, Israel na ulaya nzima wanahaha kumdhibiti Muajemi asiendelee kuvumbua teknolojia zaidi halafu wewe unatoa meno nje kama ngiri eti hawana ICT nzuri.Iran wanafuga midevu badala ya kuwapa train MAKOMANDO na ICT YAO wamekalia kuowana na kupeana HADITHI ambazo hazina mana
Anapiga sehem muhim na maarufuMoja kati ya strategies za vita ni kuhakikisha hauboost morale ya adui yako kwa namna yoyote!
Nina uhakika yule motherfuckerr Netanyahu analijua hili, subiri uone atakachotufanyia siku ya leo.
Telegram search megatron,,,,,@warmonitor,,,,brics news,,,hao hutoa vile ambavyo hutakiwi kujua.Sijasema hakuna alerts nimesema early alerts, alerts ukizipata dk 2 kabla haziwezi kukusaidia kitu. Mimi taarifa nyingi nasaka telegram nyingine ni non official nina ndg zangu Lebanon kupitia wasap wananitumia hivyo taarifa za mazayuni kitegemea .media utalishwa matango mengi Leo Kuna taarifa wamesema gereza watu wametoroka hao ni Mossad si kweli, tafuta telegram utapita tu taarifa angalau hasa magrup ya kuchat maana unachat na real people
Anajifariji tu huyo.