Hamisi senga
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 327
- 332
Mtotopendwa anapigika
Hakika Hawa jamaa ni mwisho kama namuona AyatollahKutoka katika chapisho la mtandao wa X, waziri mkuu wa Israel anasema kuwa Israel imefanikiwa kulidhibiti anga la Iran... na sasa ndege za kivita za Israel zinaweza kuingia na kushambulia katika anga la Iran bila shida yoyote.
View attachment 3372414
Haijaisha ila Iran imeshinda kwa kupiga miji "yote"(jikite kwenye yote)ya bani Israil hadi imekuwa majivu.Hata Gaza ni Hamas ndiyo washindi.😂😂😂🤣🤣
Vita imeshaisha?
Wanazuia vyombo vya habari??
Basi ukiona hivyo,jua Israel imepigika sana sio kidogo.kama
Sisi mbona tulijua hili mapema Israel bila marekani ni sawa tu na mbwa mwitu genge la uhalifu kule msasaniDuh hatari hii
Fanya kazi humu ulipwi na sikujibu tena kama nilivyosema siwezi kushupaza shingo sehemu ambayo silipwiSiyo kila kitu ulipwe.Kwani shuleni ulilipwa nini zaidi ya kulambwa mboko na kukaririshwa "fo-figa"?
PRISE TO JESUSMbinu iliyotumika kuzima radar ni matata Sana kwasababu Israel waliingiza components za drones miezi mitatu imepita Kwa Siri ndani ya iran hii kazi imefanywa na majasusi wa mossad.
Ndani ya miezi hiyo mitatu walikuwa wanaandaa ramani zote za kulipua rada zote Kwa njia ya drones kabla ya mashambulizi ya ndege za F-35 kuingia ndani ya anga la Iran.
Israel hajatumia nguvu kuzima radar za Iran Bali ni Akili imetumika kufanikisha malengo Yao ndiyo maana Leo ndege zao zinatembea anga lote la Iran watakavyo
Taarifa za Israel zimezuiwa zinataoka za upande mmoja.I'm Pro Iran.
Unaweza kunitoa wasiwasi kuhusu nini kinaendelea!?
Ritz Lucha FaizaFoxy kimsboy na makobazi mengine walitamba sana humu jf sijui iran super power 😆😆😆😆 kiko wapiNikikumbuka wanazi wa Irani walivyo kuwa wanaisifu hii Irani kama moja ya nchi zenye uwezo kivita kuzidi hata Marekani harafu leo kapigwa kama Tanzania nashangaa. Yaani Israel ameweza kujenga mpaka kiwanda cha drone ndani ya Irani, wanajeshi wa Israeli wana operate ndani ya Irani bila shida. ni hatari tupu.
Tutume ombiHawawezi kuja Tanzania kuidhibiti CCM?
Kutoka katika chapisho la mtandao wa X, waziri mkuu wa Israel anasema kuwa Israel imefanikiwa kulidhibiti anga la Iran... na sasa ndege za kivita za Israel zinaweza kuingia na kushambulia katika anga la Iran bila shida yoyote.
View attachment 3372414
Kwani leo unajisikia vibaya/kichefuchefu?Fanya kazi humu ulipwi na sikujibu tena kama nilivyosema siwezi kushupaza shingo sehemu ambayo silipwi
Hii vita sio nyepesi mkuu.Kama kweli Israel ipo katika Ushindi kwanini Sasa wanazima Internet na kuzuia vyombo vya habari kuripoti ? Kwa nn wasiache mambo hadharan Kila mtu ajionee
Mwamba huyu apo anawapeleka wa Iran katika mapepo Yao wanayoyaamini kuwa Kuna mabikira 72 hahahaaaa
Hili la kutepeta umelishikilia utadhani stoo yao unaijua punguza chuki kipapatio weweHao washatepeta