SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Siku ya 4 tuu ya mpambano kashakata pumzi kudadadeki,aibu hii na hapo Marekani hajatia mguu.
Iran leo wamefeli, wanapaswa kujipanga kurudi tena kwa nguvu. Netanyahu hana huruma hawezi kusitisha mapigano leo wala kesho walishapanga wapige wiki nzima au na zaidi, hivyo Iran lazima kesho wajipange warudi na nguvu mpya, leo wamechemsha sana
 
Sasa kama hapo ndio uwezo wake umefikia atafanyaje,na kwa reports zinasema sasa hivi kabakiwa na mzigo wa short range tuu sasa sijui zitafikaje Israel
 
Endeleeni kujiliwaza,tuliwaambia Iran bado sana kwa Vita na Israel au Marekani.
ISRAEL ipi ndugu uku unadai Marekani kaingia !!!

ISRAEL inatumia UGAID ana nguvu yoyote ya kupambana na Iran !!!

kama kwa UGAID kweli ISRAEL atashinda ndio Vita anavoweza mwenye nguvu Dunia imemuona anakupiga Live watu wanainjoy sasa ww ata kuaribu mifumo ya Anga adi utumie UGAID !!!

bado naww unajisifia unanguvu haaaaaaaaaaa !!!

IRAN asumbuki na mifumo yako ya Ulinzi Unabutuliwa na mifumo yako Uyu ndio M'BABE.!!!

Miji ya Israel ipo Hoi kwa kipigo kuwa Mkweli kama Sio Msaada wa UGAID ISRAEL isingeweza ata kuingiza ndege apo Iran..
 
Kuna wasiwasi huenda Iran wameshambulia Meli za mizigo za USA muda mchache uliopita, au hii ni Israel wanafanya false flag ili USA aingie haraka sana? Taarifa kamili bado
20250617_051715.jpg
 
Back
Top Bottom