SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Naomba unielewe nilichosema, nimesema zikiwa zinapita huonekana na watu waliopo Jordan huchukua clips na kuweka
Watazionyesha vipi walikuwa hawajui zitapita saa ngapi mwanzo Israel alikuea anatangaza zinakuja jana a ashtukia before two minutes vitu vina land. Israel kafukuza media wote kawaweka mbali anadai kaintercept Missiles nyingi mwambieni atuonyeshe kama alivyo kuwa akionyesha za Gaza hahaha
 
Security ya Israel wanategemea Missiles zingine zinakuja
Wenzako wapo Tehran wanaona hatari iliyopo,wewe upo mchambawima unatunga propaganda
 

Attachments

  • Screenshot_20250617-040823.png
    Screenshot_20250617-040823.png
    175.9 KB · Views: 22
Watazionyesha vipi walikuwa hawajui zitapita saa ngapi mwanzo Israel alikuea anatangaza zinakuja jana a ashtukia before two minutes vitu vina land. Israel kafukuza media wote kawaweka mbali anadai kaintercept Missiles nyingi mwambieni atuonyeshe kama alivyo kuwa akionyesha za Gaza hahaha
Sio kweli mfano hata zile za saa 4 China tv walikua live
Leo kwenye waves zote 3 hazikua kubwa Wala hazikua na impacts kwa Israel
Wala tusiweke ushabiki
 
Dah k$$mk wabongo sie,watu wazima mpo hapa mmekaza m$$ndu mna bishana Iran na Israel..
 
Vikao vimeanza wameona wakizubaa mtu anafutwa kweli
*****
🇺🇸 — Secretary of State Marco Rubio will be joining Donald Trump at the White House.
Iran wakikubali hayo masharti ya USA, Iran watakua wajinga. Lakini pia Iran inapaswa kutumia huu muda kuipiga na kuifuta kabisa Israel, huu ndio muda sahihi kwao
Wakikubali kukaa mezani utakua unyonge mkubwa
 
Back
Top Bottom