SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sijasema hakuna alerts nimesema early alerts, alerts ukizipata dk 2 kabla haziwezi kukusaidia kitu. Mimi taarifa nyingi nasaka telegram nyingine ni non official nina ndg zangu Lebanon kupitia wasap wananitumia hivyo taarifa za mazayuni kitegemea .media utalishwa matango mengi Leo Kuna taarifa wamesema gereza watu wametoroka hao ni Mossad si kweli, tafuta telegram utapita tu taarifa angalau hasa magrup ya kuchat maana unachat na real people
Media nitalishwa matango pori? Media ambazo ni pro Iran? Wala sio ukweli
Wala si lazima niwe telegram, hata ukiwa Twitter Kuna mamilion ya wairan wapo huko kila muda wanaweka updates. Usikariri lazima iwe telegram tu
 
Ni sawa Cha msingi upate news tu, ila Mimi huwa siandiki kitu sijakuona zaidi mara 5 sehemu tofauti kujiridhisha na media za Elon musk hizo Mimi siiwezi kuzitilia maana Sana hivyo kila mtu ana uchaguzi wake wa habari sio lazima tele
 
Jaman kibabu ayatollah mbona hakisikiki 😅😅
Gtkdu-2XAAA-Qn8.jpeg
 
Ni sawa Cha msingi upate news tu, ila Mimi huwa siandiki kitu sijakuona zaidi mara 5 sehemu tofauti kujiridhisha na media za Elon musk hizo Mimi siiwezi kuzitilia maana Sana hivyo kila mtu ana uchaguzi wake wa habari sio lazima tele
Leo tukubali Iran missiles zao hazijawa successful, si unaona kama hii wave ya muda huu haijachukua hata dakika 10. Raia hao wanaambiwa rudini maeneo yenu

View: https://x.com/MOSSADil/status/1934789774889697365?t=RgjEOec3Pi8EDFzYZ8aAIA&s=19
 
Back
Top Bottom