SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Propaganda za miaka ya 90s ndio mnatuletea

Al Jazeera ndio Kwa mara ya Kwanza wanapost kua kuna uwezekano F 35 moja imedunguliwa nao wanasubili confirmation kwenye media za Iran

Haya nyie tuelezeni izo nne mmezitoa wapiView attachment 3371948
Tibriz ipo mpakani kama karibu na Armenia, Azerbaijan na Iraq, watu wanakuambia anga lote la Tehran lipo wazi..
Kama stealth F-35 inaliwa kichwa hakuna usalama hapo..
 
Mifumo ya ulinzi Bado inafanya kazi japo inawezekana sio Kwa uimala ulio takiwa either kuna hujuma within ni kama nao wanashangaa what happened

Nazani Iran ana homework ya kufanya kwenye ulinzi wa Anga
anga la Iran lipo uchi myahudi anajichapia tu nyuma/mbele kalichapa mpaka wananchi wameona live kwenye TV ya taifa kuna nini tena hapo.
 
Tibriz ipo mpakani kama karibu na Armenia, Azerbaijan na Iraq, watu wanakuambia anga lote la Tehran lipo wazi..
Kama stealth F-35 inaliwa kichwa hakuna usalama hapo..
Vita itakua ngumu zaid kwa Israel mifumo ya ulinzi ya Iran ikianza kufanya kazi walau kwa asilimia 80

Kitu najiuliza vip wao why hawatumii fighter jets zao kukabilina na za Israel au NDIO Iran Bado wana old Generation kama za kwetu wanaogopa kutia aibu dunia nzima
 
GUJsXrrXcAAyzdn

Hivi vyuma leo ndio vinaanza kazi rasmi...
Israel inatetema leo..
Hivi vishalipuliwa jana havipo tena
 
Kati ya Wewe na Netanyahu Nani tumuamini kwa wewe inavyo ona???
Netanyahu ni kiongozi mkuu lazima ataleta siasa za propaganda na udanganyifu ili kupooza taharuki kwa anaowaongoza.
Mfano mdogo alidanganya wanajeshi waliouawa ndani ya Gaza ni 230+ kumbe ni 5000+.
Majeruhi alisema hawazidi 1000.
Kumbe sio tu majeruhi bali wanajeshi waliopewa ulemavu wa kudumu ni 12000 wa Israel.
 
Tibriz ipo mpakani kama karibu na Armenia, Azerbaijan na Iraq, watu wanakuambia anga lote la Tehran lipo wazi..
Kama stealth F-35 inaliwa kichwa hakuna usalama hapo..
Kwa kinachoendelea hapa kupata taarifa Israel itakuwa ngumu.

Na ni ajabu! Nchi ambayo inasema inashinda vita halafu ina minya taarifa zake.

Israel inafanya propaganda za kizamani sana!
 
Netanyahu ni kiongozi mkuu lazima ataleta siasa za propaganda na udanganyifu ili kupooza taharuki kwa anaowaongoza.
Mfano mdogo alidanganya wanajeshi waliouawa ndani ya Gaza ni 230+ kumbe ni 5000+.
Majeruhi alisema hawazidi 1000.
Kumbe sio tu majeruhi bali wanajeshi waliopewa ulemavu wa kudumu ni 12000 wa Israel.
Shekh izi taarifa za 5000+ mbona namba kubwa sana ndio tunajua kuna upishi wa taarifa lakini sio kwa kiwango hiki hapana
 
Basi upo nyuma sana ya muda unatakiwa ujue hakuna mtu asiyepigika mfano mdogo hapo urusi kila siku anapigwa mpaka moscow na muyukrein ambae hana hata ndege ya maana wala silaha ya maana sembuse israel anayetumia kila aina ya silaha tena ni first class weapons,
Kwa sasa hvi hata mmarekani asijichanganye kwa wahuni wanampiga pale pale washington
sizani kama ulikua unaona propaganda za iran, ziangalie alafu linganisha na kinachowatokea saa hii ndo utaelewa ninachosema
 
Back
Top Bottom