SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Channel 13 Israel Kwa sasa USA yeye anajali zaidi kuwahifadhi wanajeshi wake basi. US ananza kumkimbia Israel taratibu hataki kuingia vita na Iran direct. Israel walitegemea US ataingia direct vita na Iran, sijui walipiga embassy ya US wakasingizia Iran kapiga hahaha Us atabaki kuwasaidia tu kuangusha Missiles kaona muziki wcIran si mchezo hakuna Air defense zake imezuia.
 
GUJsXrrXcAAyzdn

Hivi vyuma leo ndio vinaanza kazi rasmi...
Israel inatetema leo..
Hao wawili ni marehemu
 
Hii vita inajulikana wazi kuwa Israel alishafanya maandalizi kamili na ana plan ya kila kitu na misaada yote alishapewa na mabwana zake. Halafu ili kumhadaa Iran wakajidai wanaenda kwenye meza ya mazungumzo kumbe wanakamilisha mipango yao ya kumpiga.

Na walifanya makusudi kabisa Trump aende kwanza middle east akakusanye pesa zao wale washenzi kisha ndio Iran apigwe.

Bahati mbaya sana Iran ni kama amekuwa surprised na hii vita ili wammalize. Lakini just imagine pamoja na surprise yao ona jinsi wanavyo enyeshwa. Imagine kama na Iran angepewa nafasi ya kujiandaa vizuri kama alivyo jiandaa Israel hali ingekuwaje?
Iran hakujiandaa kivita dhidi ya Israel? Embu kuwa serious basi.
 
Hata Zelensky alikuwa anaomba misaada kwa style hiyo kuwa Urusi akimalizana na Ukraine kituo kitakachofuata ni Ulaya yote.

Hii mbinu Netanyahu kakopi kwake.
Netanyahu kwa hili naweza kukiri na kusema kwamba, hadi sasa Israel ina operate kwa nguvu zake zote na resources zake zote, anajikaza kuonyesha ana handle lakini hali si nzuri..

Hizo ni kelele za kuomba msaada...
 
Back
Top Bottom