Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Kmmmk ni noma mkuu😂😂.View attachment 3371840
Leta post kama hii sio izo ngonjera zenu 😹vyuma vya Iran havinaga kipengele labda uje nacho wewe
Kmmmk ni noma mkuu😂😂.View attachment 3371840
Leta post kama hii sio izo ngonjera zenu 😹vyuma vya Iran havinaga kipengele labda uje nacho wewe
Yesu yuu karibu kurudiNimehakikishiwa kuwa ndani ya Saa 48 au 72 dunia inaenda Kusimama kwa muda kwa Taifa moja rasmi kufanywa ni Kifusi cha Kihistoria.
Mmepiga missiles ambazo asilimia tisini na zaidi zimeishia njiani, hamna jipya tupo juu ya anga lenu na tuko live kwa TV yenu😊View attachment 3371840
Leta post kama hii sio izo ngonjera zenu 😹vyuma vya Iran havinaga kipengele labda uje nacho wewe
Russia anajua alipo Yahudi ni moto wa kuotea mbali!!!Hiyo inaitwa high tech collaboration, mbona Russia imesita kumsaidia Ayatollah?
Amen.Yesu yuu karibu kurudi
Hii ndio hali halisi. Lakini sisi mashabiki tunaamini anga limetekwa, lakini anga hilo hilo lililotekwa vinaruhusu vitu viruke kutoka hapoHili suala la anga ya Iran kuzingirwa si kweli..
Iran ina ADs za kutungua ndege, kuna uwezekano hizi ndege zipo lakini zinapita mipakani..
Mashambulizi wanayofanya ni stand off strike, tuseme mtu anapita na ndege Mtwara, anaachia missiles ambalo ni guided missiles na kupiga targets za ndani..
Lakini hawana control ya anga ya Iran...
Mkuu, Hakuna cha kusubiri! Ni hivi, kombora linapoanzia tiyari IDF inasense, hivyo sasa hivi wametoa taarifa Haifa na Telaviv watoke mashimoni.Tusubiri tuone mwisho wake