NetanyahuUmehakikishiwa na nani?.
Anga la mama 😊Humu uwongo ni mwingi sana🤣🤣🤣. Unawezaje kuzingira anga kwa nchi kama Iran.hata Tanzania yenyewe hakuna wa kuweza kutuzingira ndo iwe Iran
Ushamba na ulimbukeni. Tangu lini mmakonde akawa muisrael au hujui unachosema. Ukienda kule, unabaguliwa kuliko hata hao magaidi wenzao. Jua kama hujui.Nimehakikishiwa kuwa ndani ya Saa 48 au 72 dunia inaenda Kusimama kwa muda kwa Taifa moja rasmi kufanywa ni Kifusi cha Kihistoria.
Ni Netanyahu mwenyewe alitangaza leo.Humu uwongo ni mwingi sana🤣🤣🤣. Unawezaje kuzingira anga kwa nchi kama Iran.hata Tanzania yenyewe hakuna wa kuweza kutuzingira ndo iwe Iran
Kama amekataa, IDF bado wanafanya tourism ktk anga ya IRAN, na Ayatollah ameji-exileWaziri wa ulinzi wa Iran amekataa..
Wametawala anga hizo ballistics zinazoenda Israel kila siku zinapita chini ya ardhi au angani?IDF wanatawala anga ya Iran as tourists, wanachagua target ya kuharibu kwa utuvu kabisa
F-35 zimetunguliwa?? Hii habari umeitoa wapi? Naomba chanzo chake
Kama amekataa, IDF bado wanafanya tourism ktk anga ya IRAN, na Ayatollah ameji-exile
View: https://vm.tiktok.com/ZMSPGokTL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Vifo Irani 240 vs Israel 24Wametawala anga hizo ballistics zinazoenda Israel kila siku zinapita chini ya ardhi au angani?
Lingine hili hapa, linapiga story na wanajeshi wa Israel.Hayana tofauti sana na haya majinga ya huku afrika
Well said be blessed - what a MEGA smart analytical mind!! once again. come AGAIN please.Hili suala la anga ya Iran kuzingirwa si kweli..
Iran ina ADs za kutungua ndege, kuna uwezekano hizi ndege zipo lakini zinapita mipakani..
Mashambulizi wanayofanya ni stand off strike, tuseme mtu anapita na ndege Mtwara, anaachia missiles ambalo ni guided missiles na kupiga targets za ndani..
Lakini hawana control ya anga ya Iran...