matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Maza mbishi kinyama.
Tehran has asked Qatar, Saudi Arabia and Oman to press US President Donald Trump to use his influence on Israel to agree to an immediate ceasefire, two Iranian and three regional sources told Reuters on Monday (Jun 16).propaganda, Israeli ndio waliomba ceasefire..
mvua iko njiani mbonaKwa leo iran ametulia au anapanga kushusha memgine tena?
Kama kawaida Muajemi hataki kabisa Mazayuni yapate usingizi kwa siku ya nne mfululizo kudadekii.😂😂Iran imetuma makombora mengine kwenda Israel mida hii.
Sawa mkuu.. pamoja sana lakini si kila unachofanya unaingiza pesa, ukiwa unapoteza muda kuangalia simba na yanga unaingiza sh ngapi?Tatizo sio musk Tatizo ni hata hapa tulipo wewe umefikia kama mlevi?
Mnajidanganya wewe na mume wako halafu tunaokula pesa ya maana ni wengine kabisa 🤣🤣 🤣 🤣 mmepoa sana hatujawazoea ivi
Mtangazaji ametimua mbio unachezea kombora haaaa haaaa.Acha kukomaza fuvu lako anga la Iran linadhibitiwa na majeshi ya anga ya Israel.
Najua kabisa wewe ulikuwa huku Ali kuwa israel inaweza kumpiga Iran sasa imetimia ndiyo maana una makasiriko mengi sana!!
Na jioni hii kituo cha matangazo ya Tv cha serikali ya Iran kimepigwa wakati mtangazaji alipokuwa akitangaza upuuzi wake baada kuona amepigwa ilibidi atimue mbio.
Nakuwekea video Najua unaumia sana lakini vumilia tu hata 100 others naye huwa anaumia sana kuona post zangu!!
Waziri wa ulinzi wa Iran amekataa..Tehran has asked Qatar, Saudi Arabia and Oman to press US President Donald Trump to use his influence on Israel to agree to an immediate ceasefire, two Iranian and three regional sources told Reuters on Monday (Jun 16).
In return, Iran will reportedly offer flexibility in nuclear negotiations with the US-Aljazeera.com
Siingizii chochote illa naona upumbavu uliopo kwenye hii ligi kisiasa🤔Sawa mkuu.. pamoja sana lakini si kila unachofanya unaingiza pesa, ukiwa unapoteza muda kuangalia simba na yanga unaingiza sh ngapi?
Vipi pale gaza israel ina shambulia nini?😹Adui achaguliwi siraha israel anapewa dawa yake alio zoea kuwapa wenzakeSidhani kama IRAN inamtu hata mmoja mwenye akili! Israel inashambulia sehemu muhimu na watu muhimu wao wanaang'aika kupiga vighorofa vya Tel aviv ambavyo myahud ata-vijenga mwez mmoja tu.Imagine mpaka mkuu wa majeshi anauliwa!!!!
🤣 🤣Nitoe angalizo..
Leo Iran anatuma vyuma ambavyo toka vita imeanza havijawahi kuonekana...
Leo myahudi anapigwa kwa nguvu ya ajabu..
Atabishia tena hawa ndio kobaziAcha kukomaza fuvu lako anga la Iran linadhibitiwa na majeshi ya anga ya Israel.
Najua kabisa wewe ulikuwa huku Ali kuwa israel inaweza kumpiga Iran sasa imetimia ndiyo maana una makasiriko mengi sana!!
Na jioni hii kituo cha matangazo ya Tv cha serikali ya Iran kimepigwa wakati mtangazaji alipokuwa akitangaza upuuzi wake baada kuona amepigwa ilibidi atimue mbio.
Nakuwekea video Najua unaumia sana lakini vumilia tu hata 100 others naye huwa anaumia sana kuona post zangu!!
Endelea na taarabu wakati vyuma vipo angani muda huu ni mwendo wa kukesha kwa lazima hakuna kuwapa Mazayuni muda wa kulala.Tehran has asked Qatar, Saudi Arabia and Oman to press US President Donald Trump to use his influence on Israel to agree to an immediate ceasefire, two Iranian and three regional sources told Reuters on Monday (Jun 16).
In return, Iran will reportedly offer flexibility in nuclear negotiations with the US-Aljazeera.com
Usiku hayatoi mwanga au😂😂😂Revolutinary Guards wametuma makombora yapatayo 10 ambayo ni ya urefu mkubwa na yapo njiani mida hii.
Mashambulizi haya yatakuwa ni makubwa kuwahi kutokea.
Miji ilo kwenye target ni Haifa na Tel Aviv.
Mji wa Haifa ni mji wenye bandari.
Kwanini Makombora yatumwa mida ya jioni na si mchana?
Sababu ni kwamba mchana makombora hayo ni rahisi kuonekana kwenye mitambo ya Israel na pia anga la Iran kwa sasa limezingirwa na ndege za kivita za Israel, hivyo makombora hutokea mafichoni "enroute" kwenda Israel.
Endelea kukariri wakati vyuma vipo angani muda huu tunavyoongea ni mwendo wa mapigo na mwendo hadi Mazayuni yapoteane kudadekii.Atabishia tena hawa ndio kobazi
Israel na washirika wake walikuwa wanampump kuwa ana nguvu sana... Kumbe ni uchawa kama CCMIran ni nchi yenye nguvu kwa nchi kama zetu huku bongo lala
Na Iran anaogopewa na nchi kama zetu huku bongo lala
Ngoja tusubiri kufutwa kwa wazayuni kama ni kweli