Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Ule ni uzao wa daudi kabisa hauogopi vitaNetanyahau aongezwe kwenye Biblia
Ule ni uzao wa daudi kabisa hauogopi vitaNetanyahau aongezwe kwenye Biblia
Hata huo uwezo wa makombora Hana kiviiile! Unarushaje makombora ovyo namna Ile hupigi target za maana! Unavunja majengo ya raia stupidi
OP Rising Lion 🦁 , Netanyahu anaongezwa ktk kitabu cha ufunuoNetanyahau aongezwe kwenye Biblia
Iran kubwa sana zaidi hata ya Tanzania tena sana so zimesambaa sana ila wamesema washapiga karibu theluthi ya launchers zoteWanafeli wapi kutarget missiles launchers za Iran!?
Mbona hiyo ni day one shambuulio la Iran, sasa mrejesho ndyo unaousikia wiki hii IDF wanaishi anga ya Iran na kuchagua targets as they wish, Ayatollah amekimbilia mapangoni na wananchi wa Tehran wanshangilia ukombozi wa IDF![]()
Uharibifu unaotokea Israel, hawakutegemea, toka mwaka 1973 , Israel hawajashuhudia kipigo kama hiki, hao vijana wengi jeshini na vyombo vya usalama katika ukuaji wao hawakuwahi kuona nchi yao ikipigwa kwa makombora mazito na yenye nguvu kiasi hiki...
Waliaminishwa kwamba Israel ndio mbabe, na vi hadithi vya uongo na kweli vya six days war.. operation Entebbe n.k
Sasa wameanza kuona vita halisi ina utamu kiasi gani hasa ikitokea kwenye ardhi yako.. mi niwaambie tu hawa Gen Z wa IDF, nyie sio jeshi bora ni kwa sababu watu waliwaheshimu tu na kupenda amani, sio wanawaogopa..
Israel ipo surprised, nani humu alitegemea Israel itapigwa kiasi hiki? nani humu alitegemea makombora yatakua yanatua Tel Aviv na kuiharibu mitaa?
Pro Israel wengi humu walikuwa wana msemo wao "Iran irushe hata kokoto tu waone moto wa Israel"..
Sasa hivi wapo humu tukilumbana nao wanasema "Iran imeua raia 20, makombora meeengi inaua raia 20 tu" 😂 😂 😂 ..
Jamani, Mwanzoni si tulikubaliana kwamba Iran ikirusha kokoto 🤣🤣 basi ndio mwisho wake..
Taratibu tu mtalipata somo, twendeni taratibu muda ni mwalimu mzuri.
Shangaa sasa..Wanafeli wapi kutarget missile launchers za Iran!?
High tech Israel ArmyIran kubwa sana zaidi hata ya Tanzania tena sana so zimesambaa sana ila wamesema washapiga karibu theluthi ya launchers zote
propaganda, Israeli ndio waliomba ceasefire..Naskia Tehran wanapiga simu kwa Trump huko kumuomba awaambie Israel wa agree ceasefire
Hii tabia ya aina fulani ya watu kuamini eti wao ni bora kuliko wengine ndio chanzo cha haya yote, huku wenzetu wakijipanga kumudu jeuri na dhihaka ya huyu m- Israel nasi tujuandae kwa m- Israel mweusi (Tutsi empire) ambae anaamini ukanda huu mzima ni mali yake na ana haki ya kuongoza na huku wengine wakibakia kuwa watumwa wa jamii zote za kinyarwanda… ama hakika ubaguzi ni kitu kibaya sanaIran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
Aisee, ingekuwa hivyo walevi si wangekuwa kama kina Musk..Nikinywa pombe napata michongo mingi kuhusu kampuni yangu sehemu mbalimbali africa ya mashariki 🤣 halafu na wachora machawa wajinga tu
Mda utasemaHamna kitu hizo propaganda tu. Eti Israel itawale anga la Iran. My foot..mfyuuuuu
Kwa leo iran ametulia au anapanga kushusha mengine tena?Ila tumepiwa jamani, hypersonic kuzuilika hakuna, zikitumwa 40 10 zitapita tu
Iran imemsaidia Russia drones, Russia imempa nini Iran?Hiyo inaitwa high tech collaboration, mbona Russia imesita kumsaidia Ayatollah?
Tatizo sio musk Tatizo ni hata hapa tulipo wewe umefikia kama mlevi?Aisee, ingekuwa hivyo walevi si wangekuwa kama kina Musk..
🤣 🤣 🤣 mmepoa sana hatujawazoea iviAiseeeee! Bila kuitaja cdm huna raha mkuu.