Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Brutal.Duuu hii ni kama movie vile wakati kituo cha TV cha Iran kinashambuliwa leo
View attachment 3371789
Brutal.Duuu hii ni kama movie vile wakati kituo cha TV cha Iran kinashambuliwa leo
View attachment 3371789
Sahihi hii kauli napenda kuirudia..😂😂😂😂😂 Kama THAAD imeshindwa hiyo Barak Magen itafanya nini mkuu??
We subiri uone mtanange baadae hapo watazikataa hizo Magen zao.
Nimeona, but Iran allies wa Iran wanahitajika kufanya jambo kubwa zaidi ya hili analofanya China.Nafikiri hivyo!
Kuna mzigo mwengine umetua leo kutoka China kwenda Iran.
Ngoja tuone.
🤣 🤣 Huyo binti kwenye tv alikuwa anasema haya hayaMfumo wa ulinzi wa Israel Iron dome umekuwa exposed aisee... ni dhaifu mno
makombora yakishonana inashindwa kbs kulinda anga la israel. Hata hivo anausaidizi mkubwa marekani na washirika wake Mfumo wa THAAD na ARROW 3 pmj na DAVID SLING umemsaidia Netanyahu otherwise Tel Aviv ingegeuka jangwa. 😀
Muda ni hakimu..GOD BLESS ISRAEL..Hamna lolote wewe dogo ku control anga la Iran sio mchezo hizo ni ndoto tu azue basi Missiles leo zitateremka huko kama mvua
Dalili Israel kaomba nchi zimsaidie kuangusha Missiles za Iran.
Na jana mtambo wa Arrow na ule wa David Sling mtu kakosea na mitambo ikadunguana yenyewe kwa yenyewe huku Balistic likipita kuelekea target.Mfumo wa ulinzi wa Israel Iron dome umekuwa exposed aisee... ni dhaifu mno
makombora yakishonana inashindwa kbs kulinda anga la israel. Hata hivo anausaidizi mkubwa marekani na washirika wake Mfumo wa THAAD na ARROW 3 pmj na DAVID SLING umemsaidia Netanyahu otherwise Tel Aviv ingegeuka jangwa. 😀
Nimeona, but Iran allies wa Iran wanahitajika kufanya jambo kubwa zaidi ya hili analofanya China.
Usiku wa leo na kesho NATO watafanya kila namna kuhakikisha Iran anashindwa, just watch their movements utanielewa.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934619582901489951
Mimi nikajua haogopi kufa. Kala konaDuuu hii ni kama movie vile wakati kituo cha TV cha Iran kinashambuliwa leo
View attachment 3371789
Acha uzushi basi jamaaNa jana mtambo wa Arrow na ule wa David Sling mtu kakosea na mitambo ikadunguana yenyewe kwa yenyewe huku Balistic likipita kuelekea target.
Hata leo kulipuliwa mtambo wa televisheni kuna taarifa kuwa IDF imekosea mahesabu target ilikuwa sehemu ingine.
Leo Hamas, Hezbola, na houth sio washirika tena wanaopigana bega kwa begaIran hana allies wa kupigana bega kwa bega
Nadhani Israel anaenda kufutwa leoIran inajiandaa kuishambulia Israel usiku na wanasema ni shambulio kubwa ambalo Israel hawajawahi kupata tangu kuundwa kwa taifa hilo.
Allah wenu anachomeka huko na mabomu huyo allah ye ni kupigwa tu mwaka huuNasubiri watetezi wa mashoga kutoka sehemu mbali mbali nchini waje kuwatetea ndugu zao
Vita sio bhanaZipigwe aiseee