SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran inavyopiga makazi ya RAIA kule The Aviv ni sahihi?
Alieanza mashambulizi ni Israel, hivyo Iran inajibu kwa self defence.

Ndo maana Marekani na West hawawezi kuingia kwenye hiyo vita sanasana wataendelea kutoa msaada wa vifaa.

Lakini mkutano wa G7 umetoa azimio la kusitisha vita.

Ukweli wabakia kuwa hapo Aggressor ni Israel.

Kupiga hadi kituo cha TV ni desperation ya Israel kwamba kwamba Marekani aingine lakini Trump amekataa.

Ipi ni justification ya kupiga kituo cha televisheni?
 
Giza njoo basi, aaaah!

Steez_HH - 1934415843678679273.gif
 
Israeli yashambulia televisheni ya taifa ya Iran baada ya kutoa agizo la wananchi kuondoka Tehran
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema awali kuwa Israeli imedhibiti anga ya Tehran, jambo alilolieleza kama “mabadiliko katika kampeni nzima”.


Makombora ya Israeli yamepiga kituo cha televisheni ya taifa ya Iran kilichopo Tehran, baada ya Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) kutoa agizo kwa raia kuondoka katika eneo fulani la mji mkuu huo.


Shambulizi hilo lilisitisha kwa muda matangazo ya moja kwa moja, huku mtangazaji akiondoka ghafla wakati studio ilipojaa moshi.


Shambulizi hilo lilitokea muda mfupi baada ya IDF kuitaka jamii kuondoka katika maeneo ya Wilaya ya Tatu ya Tehran, ambako ndiko studio hiyo ya televisheni ilipo.


“Katika saa chache zijazo, jeshi la Israeli litafanya mashambulizi katika eneo hili dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya utawala wa Iran... uwepo wenu katika eneo hili unaweka maisha yenu hatarini,” IDF ilichapisha kwenye X.


Netanyahu aliongeza kuwa Israeli iko “katika njia ya” kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran na uwezo wake wa makombora ya masafa marefu.


Wakati mzozo kati ya mataifa haya mawili ya kikanda ukizidi kupamba moto, waokoaji wa Israeli walisema watu wanane wameuawa kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran kwenye miji ya Israeli, na kufanya idadi ya waliouawa tangu Ijumaa kufikia 23.


Mamlaka za Iran zilisema jioni ya Jumapili kuwa raia 224 wameuawa kutokana na mashambulizi ya Israeli, pamoja na maafisa 17 wa juu wa kijeshi.


Mashambulizi haya ya hivi karibuni yametokea wakati viongozi wa kimataifa wakiwasili nchini Canada kwa ajili ya...
 
Kuua raia wa Israel ni ushujaa sio? Hicho kimama kinaongea kibabe lakini kumbe kinaogopa kifo
Huyo mtangazaji ni maarufu sana Iran na hicho ndicho kituo chao wairan.

Hapo alikuwa akitoa ujumbe kwa wairan kwamba Ukweli ni lazima uonyeshwe.

Israel watumia playbook ileile ya Gaza kutotaka uhuni wao uonyeshwe ndo maana wamepiga marufuku hakuna Media kule Gaza.
 
Kumbe Iran Bado Ina Air defense system zinafanya kazi?
Si mlituambia zote zimebutuliwa?
Mkuu Waajemi kichwa sana!! Walitafuta mbinu za kuwachota akili Wayahudi wakatengeneza rada ambazo zilikuwa ni Matoyi tu yaani DECOYS, wakahakikisha zinatoa mawimbi ya radio kama RADA alisi kabisa, kumbe hiyo ilikuwa ni gheresha tu, wakajengea na minara ya kushikiria madishi ya kusambaza mawimbi kama ya RADA - sasa ndege za wayahudi zilipokuja no kudetect hayo mawimbi no kuona madishes na minara wakafikiri ni air defense systems za jeshi la anga LA Iran wakadondosha mabomu na pia air to ground missiles,wakajipongeza kwamba kwamba hivi sasa Iran hawana Air defense system zozote, kesho yake wakaingia kichwa kichwa no F-35 wanayo sema no stealth ikatunguliwa, hawakuamini kesho kutwa yake wakaja no F-35 zikatunguliwa mbili, hivyo jeshi la anga la Iran lilifanikiwa kutungua jumla ya ndege 3 aina za F-35, mmoja.wa rubani alikuwa mwanamke.
 
BREAKING: IRAN HAS VOWED TO CARRY OUT A RETALIATORY TV STRIKE ON ISRAEL’S CHANNELS 12 AND 14THE IRGC HAS ISSUED A WARNING STATING THAT CIVILIAN EMPLOYEES AT ISRAELI TV CHANNELS SHOULD LEAVE THEIR OFFICES

Gtk0tAFbQAApMor
Gtk0s_nW8AAd1za


Kama una ndugu yako anafanya kazi kwenye hivyo vituo vya TV, mtaarifu asifike kazini... kimondo kinatua hapo.. tusije kulaumiana..
 
Huyo mtangazaji ni maarufu sana Iran na hicho ndicho kituo chao wairan.

Hapo alikuwa akitoa ujumbe kwa wairan kwamba Ukweli ni lazima uonyeshwe.

Israel watumia playbook ileile ya Gaza kutotaka uhuni wao uonyeshwe ndo maana wamepiga marufuku hakuna Media kule Gaza.
Check ulivyo muongo we jamaa hakuna media inayoripoti mambo yanayoendelea Gaza?
 
Wanataka mazungumzo halafu na wao wanaendelea kuweka vilipuzi nchini Iran na kuendelea kuongea kauli za kishujaa. Leo wametumia vilipuzi vyengine kutaka kulipua Iran TV.

Ila mwanamama aliyekuwa anatangaza hakukimbia wala nini baada ya mlipuko, bali aliendelea na kuwa live na kaongea kauli za kishujaa kuwa Iran itasimama mpaka mwisho.

Watu wa namna hii huwezi kupigana nao! Huwezi kupigana na watu ambao wapo tayari kufa hali ya kuwa nyinyi mpo tayari kuishi.
Umeamini hiko kilichoandikwa hapo?
 
Wanataka mazungumzo halafu na wao wanaendelea kuweka vilipuzi nchini Iran na kuendelea kuongea kauli za kishujaa. Leo wametumia vilipuzi vyengine kutaka kulipua Iran TV.

Ila mwanamama aliyekuwa anatangaza hakukimbia wala nini baada ya mlipuko, bali aliendelea na kuwa live na kaongea kauli za kishujaa kuwa Iran itasimama mpaka mwisho.

Watu wa namna hii huwezi kupigana nao! Huwezi kupigana na watu ambao wapo tayari kufa hali ya kuwa nyinyi mpo tayari kuishi.
Kobazi ni waongo hatari 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
 
Usishangilie uhuni unofanywa na Israel.

Kushambulia hospitali, kituo cha Runinga na sehemu zingine ambazo hakuna mitambo ya Nyuklia ni uhuni.

Na hata hivyo balozi wa zamani wa UK nchini Iran katika assessment yake amesema hakuna ushahidi kwamba Iran ilikuwa karibu kutengeneza bomu la nyuklia.

'No credible evidence' Iran is close to nuclear weaponisation​

The UK's former ambassador to Iran says Israel's military action in recent days constitutes an act of illegal aggression.

Sir Richard Dalton tells Leah Boleto that Iran did not present an imminent nuclear threat to Israel, and there is "no credible evidence" that it was planning an imminent attack either.

Benjamin Netanyahu justified last Friday's strikes on Iran's nuclear facilities by claiming Tehran has recently taken steps to weaponize enriched uranium and that Israel "faced the threat of annihilation".

Asked if he believes Iran is really on the brink of nuclear weaponisation, Sir Richard says: "No, and there is no evidence to that effect in the public domain."

He says there has been no change in the basic assessment of the international community that Iran has not taken steps to develop nuclear weapons.

"So we are entitled to disbelieve Netanyahu's claims that there was some recent change in Iranian policy and behaviour. Personally, I don't think that evidence is available."

Kinofanyika ni aggression isokuwa na sababu yoyote zaidi ya uonevu na kujimwambafai huku Israel ikivunja sheria za kimataifa kinyume khasa mkataba wa UN kuhusu nchi kuheshimu mipaka.
Alitaka mpaka aone Iran anarusha mabomu ya nyuklia ndio ajue wapo karibu kutengeneza?

Alitaka mpaka aanze kuifuta Israel ndio ajue kuwa anaanzisha vita kuifuta Israel?

Tangazo tu la Iran kuifuta Israel ni ushahidi tosha na ni tangazo la vita. Iran analea na kufadhili makundi ya kuifuta Israel, unategemea

Sikutegemea nchi kama UK inaweza kuwa na balozi kilaza namna hii
 
Back
Top Bottom