๐๐๐๐๐๐ Israel kwa mikwara!Waziri wa nishati Israel.
Kwa Kila jengo moja linaloanguka Israel Iran ijiandae kwao tunaangusha mia moja.
1/100.
View attachment 3371725
๐๐๐๐๐๐ Israel kwa mikwara!Waziri wa nishati Israel.
Kwa Kila jengo moja linaloanguka Israel Iran ijiandae kwao tunaangusha mia moja.
1/100.
View attachment 3371725
Eeeiii!Waziri wa nishati Israel.
Kwa Kila jengo moja linaloanguka Israel Iran ijiandae kwao tunaangusha mia moja.
1/100.
View attachment 3371725
Wa pili huyo kaenda,wa kwanza alikua NavyWaziri wa nishati Israel.
Kwa Kila jengo moja linaloanguka Israel Iran ijiandae kwao tunaangusha mia moja.
1/100.
View attachment 3371725
Watasema tu soon watasema.Israel wameutaka
Wa pili huyo kaenda,wa kwanza alikua Navy
Waziri wa nishati Israel.
Kwa Kila jengo moja linaloanguka Israel Iran ijiandae kwao tunaangusha mia moja.
1/100.
View attachment 3371725
View: https://x.com/manniefabian/status/1934629934216937570
๐ ๐ ๐ ๐ ๐, nimecheka sana, "Bitch shut up"
Ila Israel ikaushie sasa
๐ ๐ ๐Israel wanapiga hadi vituo vya TV,hawataki ukweli!!๐๐
Ila hii dunia, ilipofikia yaani binadamu kutoa uhai wa binadamu mwenzake ishakua kawaida.
๐๐๐Huku kuishiwa,yaani tupigane na kenya,wao wapige tbc!?
Kina nani mashetani wenyewe?Hiyo NI kawaida Sana na hayo mambo hayakuanza Leo .Sisi NI mashaidi Tu kwamba Hawa jamaa na mavitabu Yao ya dini ndio mashetani wenyewe.muhimu tuendelee kujipigia mbususu tu
Hajafa. Huyu ni waziri wa nishati anawahakikishia Iran KUWA KWA Kila jengo wanalolibomoa Israel, Israel itakuwa inabomo a 100 ya Iran .Weeeh Matandu bin Ukoko!
Amekufaje huyu akati tumeambiwa Iran anarusha mabomu ovyo bila intelijensi?
๐๐๐ Ukiwakuta wanajitamba unaweza sema hawaogopi kufa...๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mmeona kituo cha television kilivyopigwa live hadi kakimbia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Waache waendelee kujitekenya.Israel wanapiga hadi vituo vya TV,hawataki ukweli!!๐๐
Hiyo ni kulingana na mwandishi wa habari si tunachojua anga ni letuKumbe Iran Bado Ina Air defense system zinafanya kazi?
Si mlituambia zote zimebutuliwa?