SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wayahudi makelele tu namajivuno, lakini this time, Wairan wamewatia adabu no aibu kweli kweli majigambo yote ya Viongozi na wao hivi sasa wanahaha kama nini!! Roketi za Waajemi zinatua no kulipua popote walipo lenga zinakwepa air defense systems za Wayahudi walizopewa no Merikani na pamoja no marafiki Zane mara eti"Patriot,mara sling, THAAD, mara Iron Dome vyote hivyo zimewasaidia nini Wayahudi Hakuna!! Bado roketi za Waajemi zinapiga popote bila kizuizi - hii kitu imewatia aibu jeshi LA Wayahudi pamoja na Merikani, kumbe Air defense systems za Merikani na rafiki zake si lolote si chochote!!! Soko la silaha zao zinazo pigiwa upatu kila siku hivi sasa wanunuzi watakuwa wanajiuliza maswali mengi hasa banda ya kushuhudia dismal performance katika vita hii inayo endelea huko mashariki ya kati. watu watasema mengi kujaribu kuwatetea Wayahundi wanasahau ukatiri no uwenda wazimu wanao wafanyia Wapalestina kupora aridhi yao no kuwafanyia unyama wa kila sampuli, ni mijitu mikatiri sana.
Ukimaliza jifariji kwa hayo maneno chukua na maji ushushie ulale, huku ni kazi kazi hadi Ayatoulah uchebe tumswalie swala ya mwisho
 
Wewe mwehu kwani hapa tunatangaza dini??? Hata kama hawamtambui mimi inanihusu nini??? Na hiyo haiwezi kuondoa ukweli kuwa Iran anatandikwa sawa sawa na leo hii walikuwa wanaaga mizoga ya makamanda wao waliouwawa kizembe huko Tehran
Wanazika hapo hapo au wanasafarisha ?
 
Mkuu hata kujiongeza hujiongezi doh?
Ili Iran arushe ndege kuja Israel anahitaji apite anga la Syria na Jordan,je hiyo access anayo??
Israel ameweza kurusha hizo ndege kwasababu amepewa access ya anga la Jordan na Syria.
Iran atatumia access ya anga lipi?
Iran anazo Su35 za Russia je hizo ni ndege za zamani??
Hili tulishalieleza humu toka siku ya kwanza. Ila mtu akishagundua udhaifu uko sehemu fulani atarudia hapo hapo kila mara. Naamini hata baada ya haya maelezo yako yaliyonyooka jamaa atakuja tena na hii hoja
 
Wanaomba mma..
Screenshot 2025-06-16 175320.png
 
Back
Top Bottom