SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wewe ndiye mpotoshaji mkubwa , we ulinambia humu kabla ya hii vita kwamba unaishi Tel Aviv, hio Tel Aviv unakaa kipande cha wapi?

Maana huko Tel Aviv mji wote watu hawana amani, wengine wamefariki, wengine majeruhi.. hivi we mwamba unatuchukuliaje ?

We jamaa acha uongo, huwezi kuwa Tel Aviv sasa hivi una chat hapa..

Wenzako wote wapo kwenye bunker huko wameshonana kama nyanya zipo kwenye tenga... acha uongo..
Ndiyo maana nakuambiwa wewe ni mpotoshaji mkubwa mimi sijasema naishi huko mimi nilisema niko huko kutembea tu nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025.

Nani alikuambia wayahudi hawana Amani waangalie hapo kwenye Basement watu wanafuraha wanaimba tu Zaburi ya 23.

Kwenye Basement kuna kila kitu kiyoyozi mpaka mwisho hata ukitaka kulala waweza kulała vinywaji baridi vipo tele
 

Attachments

  • Tel_Aviv_is_under_attack_But_look_Israelis_aren’t_hiding_underground.mp4
    15.1 MB
June 16, 2025
IDF issues unprecedented evacuation warning for parts of Tehran ahead of strikes
By Emanuel Fabian Follow
Today, 4:50 pm

The IDF issues an unprecedented evacuation warning for a large section of Iran’s capital, Tehran, ahead of Israeli strikes.

Persian-language spokesman, Master Sgt. (res.) Kamal Penhasi.

“In the coming hours, the Israeli army will operate in this area, as it has in recent days throughout Tehran, to strike the Iranian regime’s military infrastructure,” the warning adds.

Bomb shelters make good neighbors
Keep Watching




???? هشدار فوری به کلیه أفراد حاضر در ناحیه مشخص شده نقشه ضمیمه در منطقه ۳ تهران.

⭕️ شهروندان گرامی، بمنظور امنیت شما خواهشمندیم از ناحیه مذکور در منطقه ۳ تهران فورا خارج گردید.

⭕️ طی ساعات آینده ارتش اسرائیل در این ناحیه همچنان که طی روزهای اخیر در محدوده تهران عمل نموده است،… pic.twitter.com/8WkxfGQnKN

— افيخاي ادرعي (@AvichayAdraee) June 16, 2025

In a vague warning after the military issued the evacuation warning, Defense Minister Israel Katz says, “The Iranian propaganda and incitement mouthpiece is on its way to disappearing.”

“Evacuation of nearby residents has begun,” he adds
 
Official says Israel’s operation in Iran expected to last 2-3 weeks, end goal is tight nuclear agreement
By Lazar Berman Follow
Today, 4:23 pm
6
People walk past closed shops in Tehran's Grand Bazaar as fighting between Israel and Iran entered a fourth day on June 16, 2025. (Photo by ATTA KENARE / AFP)
People walk past closed shops in Tehran's Grand Bazaar as fighting between Israel and Iran entered a fourth day on June 16, 2025. (Photo by ATTA KENARE / AFP)
Israel operation against Iran could take 2-3 weeks, but the timeframe depends on decisions made by the political echelon on the scope of the campaign, an Israeli official tells The Times of Israel.

“There’s a bank of military targets that we can complete pretty quickly,” says the official. “If they decide to expand it to more like government symbols, economical targets, all that, then it will take longer.”

A tighter nuclear agreement between Iran and Western powers is the goal, says the official.

Bomb shelters make good neighbors
Keep Watching




Israel is aiming to “cause enough damage [to the nuclear program] to revert to diplomacy and get a good agreement.”

The Iranians have been sending messages through intermediaries to Israel that “if Israel stops attacking, they will stop and they’re ready to go back to the negotiations,” says the official. “But Israel has to stop first.”

Israel is still conducting battlefield damage assessments to see how much damage the attacks have done, but it is too early to know at this stage. It believes that the underground facility at Natanz has been damaged in addition to the aboveground infrastructure, but that is still being examined.

It is less optimistic about Israel’s ability to seriously damage the Fordo nuclear facility on its own.
 
Ndiyo maana nakuambiwa wewe ni mpotoshaji mkubwa mimi sijasema naishi huko mimi nilisema niko huko kutembea tu nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025.

Nani alikuambia wayahudi hawana Amani waangalie hapo kwenye Basement watu wanafuraha wanaimba tu Zaburi ya 23.

Kwenye Basement kuna kila kitu kiyoyozi mpaka mwisho hata ukitaka kulala waweza kulała vinywaji baridi vipo tele
Wakitaka kulala kila mmoja ana chumba chake ama wanalala wote sehemu moja kama ng'ombe zipo zizini?
 
Hawa wanapenda shabikia ujinga na ndio ule ule ujinga alionao Iran, wakati kule Tehran taarifa official zinasema barabara na sheli zimejaa watu wanakimbia
Anga lote la Tehran liną ilikuwa na israel utafikiri Iran haina jeshi!!! Wajinga sana hawa mimi niliwaambia mapema sana kuwa Iran lazima apigwe na asipoangalia Ayatollah naye atapinduliwa mark my words!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    2.7 MB
  • telegram_video.mp4
    2.5 MB
  • IMG_9741.mp4
    4.1 MB
Ndiyo maana nakuambiwa wewe ni mpotoshaji mkubwa mimi sijasema naishi huko mimi nilisema niko huko kutembea tu nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025.

Nani alikuambia wayahudi hawana Amani waangalie hapo kwenye Basement watu wanafuraha wanaimba tu Zaburi ya 23.

Kwenye Basement kuna kila kitu kiyoyozi mpaka mwisho hata ukitaka kulala waweza kulała vinywaji baridi vipo tele
Kuna kiyoyozi na bado wanajipepea kama wapo ndani ya boiler?
Au viyoyozi vimeharibiwa na mabomu ya Persians?
 
Back
Top Bottom