Mzee kama unashindwa kuchangia acha, tutolee us3nge wako kila muda midevu na majini, midevu na majini...
Kama huna hoja za kuchangia humu kula kona, jf ni pana, unaharibu uzi na upuuzi wako wa kifala kila hoja unapigwa unaipeleka kidini..
Hi vita si ya kidini, huko twitter wamarekani wengi tu tena wazungu wanaiunga mkono Iran, na wao ni wa dini? mbona huyu jamaa ni mzungu na anaiponda Israel na kuisifu Iran..
View attachment 3371607
Unaharibu uzi na ukiendelea tutajiunga humu tuku report kwa pamoja ulambwe ban na mods usirudi tena kwenye huu uzi ukafungue wa kwako huko...
Hapa tunataka hoja kwa hoja, updates... ukishindwa kuwa msomaji sio lazima uchangie..