SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Swalinla kujiuliza Hawa DG na Deputy wake kwanini baada ya kufa ndio huu mtandao unadakwa bila kikomo Kuna uwezekano waliliwa vichwa na watu wa chini Yao walio kua wamesha nusa uhusika wao.

Kwanini wajigungie chumba Cha Siri kwenye jengo Hilo Hilo ambalo ni ofisi za dara za ujasusi wakati huu taifa limetangaza vita?

Kwanini wao walitaka kufanya kikao Cha Siri pekeao bila viongozi wengine wa idara za usalama? Nini walikua wanaficha walitaka kujadiri nini wakati huu taarifa zote zinaenda Moja kwa moja balaza la usalama.

Je kwanini yani kwanini? Maswali ni mengi
 
Nilisha lisema hili Kuna coalition unakuja ya Iran na Pakistani dhidi ya India

Iran na Russia dhidi ya America na EU

Pia coalition mpya na vikundi vya wapigananji ambayo naona sasa vitakua vikiendeshwa ki intelligence zaidi kuliko kijeshi. Japo ata viimaridha sana kizana na mafunzo.

Pia nazani Kuna uwezekano wa wa kui reform counter agency department pamoja na idara ya ujasusi wa kijeshi
Siku Israel inaanza kushambulia rada zote za Iran zilifeli baada ya masaa kadhaa zikarudi. Wachambuzi wanahisi Kurudi haraka ni kwa ushirikiano wa Siri na Pakistan.
 
Kurdish mercenaries in north of Iraq prepares to attack Iran borders with Israeli air force support following a call by their leader to start launching attack on Iran

Israel inawaboost waasi wa Iran na itawapa air coverage
 
Nijuavyo Iran alivyo, atapiga kweli Hospital..
Kwa maana jamaa sasa hivi wapo kwenye mode nyingine kabisa.. sio Iran waliozoeleka..
Kuna clip Nimeshuhudia zaidi ya makombora 8 yanashuka na kupiga majengo mbali mbali ndani ya Israel tena yanashuka kwapamoja bila kuwa intercepted

Hiyo ni ishara kuwa Iran wanauwezo wa kushusha vyuma popote pale kama wamepigiwa Hospital yao basi wa Israel waliojaa mahospital waanze kuhamishiwa kwenye mahandaki , lazima watatandika hospital
 
GtiM2ECWMAAlgd7
 
😹wata popolewa hawa ,anae kutuma tu ana popolewa hadi kwake we jirani itakuaje
Kurdish mercenaries in north of Iraq prepares to attack Iran borders with Israeli air force support following a call by their leader to start launching attack on Iran

Israel inawaboost waasi wa Iran na itawapa air coverage
 
Hadi dakika hii sijaona ushindi wowote wa Iran dhidi ya Israel sema ni vile tu kobazi wanapenda kushangilia milipuko, anachokifanya Iran cha kuangamiza watu na kupiga makombora ovyoovyo hata Israel anakiweza ni vile tu ye anajua kafuata nini na uzuri kilichompeleka kinaendelea tena vizuri na ukiangalia wanaoongoza kulia lia kwa mitandao ni Iran, maana hata netanyahu na viongozi wengine wanasema kazi iendelee haiishi hadi iishe
Ukiulizwa maswali we jamaa haujibu.
Haifa oil refinery inafanya kazi??
Nevatim airbase iko na hali gani?
IDF HQ iko na hali gani??
Haifa port/ bandari ya Haifa iko na hali gani??
Endelea kusema Iran anajipigia hovyo.

Pia kwanini Israel inazuia upigaji picha wa matukio ndani ya mitaa ya Israel?
 
Kurdish mercenaries in north of Iraq prepares to attack Iran borders with Israeli air force support following a call by their leader to start launching attack on Iran

Israel inawaboost waasi wa Iran na itawapa air coverage
Kurdish ni waasi wa sehemu tatu,Iran,Iraq na Turkiye.
Hao kinawakuta kitu sasa hivi.
Maana Iraq haitawaruhusu wafanye kitu.
 
Ukiulizwa maswali we jamaa haujibu.
Haifa oil refinery inafanya kazi??
Nevatim airbase iko na hali gani?
IDF HQ iko na hali gani??
Haifa port/ bandari ya Haifa iko na hali gani??
Endelea kusema Iran anajipigia hovyo.

Pia kwanini Israel inazuia upigaji picha wa matukio ndani ya mitaa ya Israel?
Nipo ofisini namalzia kazi ntakujibu baadae
Ila kama hayo ndiyo mafanikio ya Iran mna safari bado😁
 
Back
Top Bottom