SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Vita isikie tu kwa wenzenu nyie acha tu

By 2012- 2017 nilikuwa Kenya wakati Al shabab wanashambulia westgate aisee acha kabisa nilichokishuhudia


Mpaka kesho nachukia Vita kwa sababu wanaoumia ni watu wa Hali ya chini

Nilishuhudia mtu anaomba msaada wakati huo tumewekwa chini ya ulinzi kwenye gorofa jilani ya lile lililolipuliwa

Aisee Ile siku sitaisahau mpaka nakufa!!
 
June 16, 2025
IDF issues unprecedented evacuation warning for parts of Tehran ahead of strikes
By Emanuel Fabian Follow
Today, 4:50 pm

The IDF issues an unprecedented evacuation warning for a large section of Iran’s capital, Tehran, ahead of Israeli strikes.

Persian-language spokesman, Master Sgt. (res.) Kamal Penhasi.

“In the coming hours, the Israeli army will operate in this area, as it has in recent days throughout Tehran, to strike the Iranian regime’s military infrastructure,” the warning adds.

Bomb shelters make good neighbors
Keep Watching




???? هشدار فوری به کلیه أفراد حاضر در ناحیه مشخص شده نقشه ضمیمه در منطقه ۳ تهران.

⭕️ شهروندان گرامی، بمنظور امنیت شما خواهشمندیم از ناحیه مذکور در منطقه ۳ تهران فورا خارج گردید.

⭕️ طی ساعات آینده ارتش اسرائیل در این ناحیه همچنان که طی روزهای اخیر در محدوده تهران عمل نموده است،… pic.twitter.com/8WkxfGQnKN

— افيخاي ادرعي (@AvichayAdraee) June 16, 2025

In a vague warning after the military issued the evacuation warning, Defense Minister Israel Katz says, “The Iranian propaganda and incitement mouthpiece is on its way to disappearing.”

“Evacuation of nearby residents has begun,” he adds
Gaza mpya hiyo
NO REFORMS NO ELECTION
 
Yajayo yanafurahisha sana Ayatollah yuko karibu kuzimia
 

Attachments

  • IMG_3308.jpeg
    IMG_3308.jpeg
    243.4 KB · Views: 17
Kwa ndege au drones lakini kutokana na habari itakuwa ndege.
Wayahudi makelele tu namajivuno, lakini this time, Wairan wamewatia adabu no aibu kweli kweli majigambo yote ya Viongozi na wao hivi sasa wanahaha kama nini!! Roketi za Waajemi zinatua no kulipua popote walipo lenga zinakwepa air defense systems za Wayahudi walizopewa no Merikani na pamoja no marafiki zake wa magharibi mara utasikia wamepewa: eti"Patriot ADS, mara wamepewa eti Sling ADS, mara THAAD, mara Iron Dome.

Vyote hivyo zimewasaidia nini Wayahudi? Hakuna!! Bado roketi za Waajemi zinapiga popote bila kizuizi - hii kitu imewatia aibu jeshi LA Wayahudi pamoja na Merikani, kumbe Air defense systems za Merikani na rafiki zake wa magharibi si lolote si chochote!!! Soko la silaha zao zinazo pigiwa upatu kila siku hivi sasa wanunuzi watakuwa wanajiuliza maswali mengi hasa banda ya kushuhudia dismal performance katika vita hii inayo endelea huko mashariki ya kati. watu watasema mengi kujaribu kuwatetea Wayahundi wanasahau ukatiri no uwenda wazimu wanao wafanyia Wapalestina kupora aridhi yao no kuwafanyia unyama wa kila sampuli, ni mijitu mikatiri sana.
 
Wayahudi makelele tu namajivuno, lakini this time, Wairan wamewatia adabu no aibu kweli kweli majigambo yote ya Viongozi na wao hivi sasa wanahaha kama nini!! Roketi za Waajemi zinatua no kulipua popote walipo lenga zinakwepa air defense systems za Wayahudi walizopewa no Merikani na pamoja no marafiki Zane mara eti"Patriot,mara sling, THAAD, mara Iron Dome vyote hivyo zimewasaidia nini Wayahudi Hakuna!! Bado roketi za Waajemi zinapiga popote bila kizuizi - hii kitu imewatia aibu jeshi LA Wayahudi pamoja na Merikani, kumbe Air defense systems za Merikani na rafiki zake si lolote si chochote!!! Soko la silaha zao zinazo pigiwa upatu kila siku hivi sasa wanunuzi watakuwa wanajiuliza maswali mengi hasa banda ya kushuhudia dismal performance katika vita hii inayo endelea huko mashariki ya kati. watu watasema mengi kujaribu kuwatetea Wayahundi wanasahau ukatiri no uwenda wazimu wanao wafanyia Wapalestina kupora aridhi yao no kuwafanyia unyama wa kila sampuli, ni mijitu mikatiri sana.
Hayo sasa ni maneno ya Mwendawazimu anayepekwa Milembe hospital kulazwa!!!
 
“Dear citizens, for your safety, we ask you to immediately leave the mentioned area in District 3 of Tehran,” says the IDF
Dah,
IDF wana utu sana, hawataki kuumiza raia wasio na makosa. Vichwa ngumu ndo watakiona cha moto..
“In the coming hours, the Israeli army will operate in this area, as it has in recent days throughout Tehran, to strike the Iranian regime’s military infrastructure,” the warning adds.
Ni operation maalum inaendeshwa huko.

Kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi. Ayatollah haamini kinachojiri. Anaambiwa kabisa maeneo yatakayo shughulikiwa, na moto unashushwa
 
Back
Top Bottom