Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,148
- 6,060
No Reforms No Election
Mbona makombora ya Iran yanamba anga la Israel kama hakuna nchi vile..Tatizo lako umekula Maharage ya jana!!!!
Israel kwa sasa hivi inadhibiti anga lote la Tehran leo wewe unakuja kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa israel imelemewa acha ujinga
View attachment 3371539
Hakuna lolote hizo ni kelele za Netanyahu kuwapoza wayahudi sababu wengi wana mlaumu kawaingiza kwenye balaa.Anga ya Teheran imesha Tekwa na Yahudi😇😭😭
👇👇
Kwa ndege au drones lakini kutokana na habari itakuwa ndege.Ni ndege au wametumia nini?
😂😂😂😂😂😂Sipatii picha Iran watajibu kwa kiwango gani.
Makombora yanashuka ndani ya Israel na Dunia nzima ina furahaYahudi Amesha Uteka Mji Mkuu wa Iran!
👇👇
😇😭😭😭
Hiyo imekua targeted armo depot au Oil oil depot. Hakuna MAELEZO nje ya hapo
Habari ya mjini ni hio wanasingiziav ran kapiga USA embassy pale Tela Aviv hahaha. Si waseme tu Iran hawamuwezi bila kumuingiza USA kwenye vita.
Aiseee
Bado wiki moja hizi kelele za wafuga midevu hutazisikia tena !Tatizo lako umekula Maharage ya jana!!!!
Israel kwa sasa hivi inadhibiti anga lote la Tehran leo wewe unakuja kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa israel imelemewa acha ujinga
View attachment 3371539
Mimi Mmatumbi sikuambulia kitu weka kiswahili wote tujue!!!Wadau hamjamboni nyot. e, 3min ago
Pared-down Knesset convenes in conference room for wartime session
By Sam Sokol
The Knesset plenum on June 16, 2025. (Sam Sokol/Times of Israel)
The Knesset plenum on June 16, 2025. (Sam Sokol/Times of Israel)
In its first session since opening of hostilities with Iran, the Knesset convenes in a sunken conference room in the Parliament building in Jerusalem rather than in its usual chambers. Lawmakers debate a scaled-back legislative agenda in a sparsely attended meeting in a largely empty room.
Opening the session, Knesset Speaker Amir Ohana praises Israelis for their “extraordinary national resilience” in working to ensure their country’s existence “for generations to come.”
While other opposition motions of no-confidence were dropped from the agenda following Friday’s attack on Iran and Tehran’s retaliatory missile strikes, the Arab Hadash-Ta’al faction submitted a motion “in light of the wars in Iran and Gaza, and the heavy loss among civilians.”
Faction chairman MK Ayman Odeh called for an end to the fighting, arguing that “not only has this criminal government failed, the opposition is also being dragged along with it time and time again, in quiet and shameful surrender.”
After the motion is voted down, Ohana says lawmakers “sent a strong message to our enemy: We are one people, and in such fateful moments we all stand together
Kwani uongo?Lakini wakristo wanasema hilo ni taifa teule lao hahaha
Hebu nipe andiko linalo sema kuna taifa linaitwa teule kwenye fake bible zenu.Kwani uongo?
Ndo kanisani huwa mnadanganywa hivyo? Tangu lini Israel likawa taifa la wakristo? Ndani ya Israel waislam ni wengi kuliko wakristo na wayahudi hawataki kuskia habari za ukristo kabisaKwani uongo?
Wewe acha ujinga wako sasa unatuletea lugha hiyo bila kutuletea tafsiri unafikiri wote humu ni Wafuga Midevu na Majini?Kapiga hospitali ya Iran!??