View: https://www.instagram.com/reel/DK9LNyutaXr/?igsh=MTBiaTZqNjl3bzhmMA==
Kula vyuma hivyo kutoka Iran acha kujaza clip uchara za tiktok Israel inakua Gaza
Wakamatie hapo hapo kisawasawa aisee.
View: https://www.instagram.com/reel/DK9LNyutaXr/?igsh=MTBiaTZqNjl3bzhmMA==
Kula vyuma hivyo kutoka Iran acha kujaza clip uchara za tiktok Israel inakua Gaza
Hiyo ndo Iran maneno kidogo makombora mengiWakamatie hapo hapo kisawasawa aisee.
Si nasikiaga kila tunachokiona duniani na huko vipo. Watazagamuliwa kwenye lodge hukodini yao imetoa upendeleo kwa wanaume, wanawake haijulikani watapewa nini huko
Anaweza asishinde ila akakuacha hoi kama Iraq na Afghanistan huku amesimamisha tawala zinazomskiliza
Iran sasa inafanya safisha safisha kwanza ndani...🇮🇷🇮🇱🇹🇷Iran executed a man named Ismail Fakhri, who was accused of spying for Mossad.
He is a Turk by nationality who was in direct contact with two Israeli intelligence officers and collected data on strategic sites inside Iran.
afu kuna mtu pale iran anakwambia watu hawajaona kitu kabisa kuhusu iran...aiseeeView attachment 3371496
Picha za F-35 mdogo mdogo zitawajia kazi kipimo cha utu Echolimai nakupa Salam kuwa Iran sio Waraabu!!!!!
Nasubiri watetezi wa mashoga kutoka sehemu mbali mbali nchini waje kuwatetea ndugu zaoWakamatie hapo hapo kisawasawa aisee.
Wataelewa tu mana washaingia kwenye Mfumoafu kuna mtu pale iran anakwambia watu hawajaona kitu kabisa kuhusu iran...aiseee
Irani ndiyo baba wa israelwe. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabila
Wakati huo hakukuwa na taifa la israel wala ibrahim alikua hajazaliwa
“ndo shida ya madrasa bila elimu”
Taifa la israel limezaliwa baada ya miaka mingi baadae kuanzia uzao wa ibrahim ambapo Ibrahim alizaa mtoto mmoja wa ndoa Isaka nae akamzaa yakobo na esau Yakobo ndo alizaa watoto 12 ambayo ndo makabila 12 ya israel kwa jina lingine Yakobo ndio mwenye jina Israel
mtoto mwingine haramu au wa nje ya ndoa alikua ishmael ambaye ndo alizaa waarabu
(Nadhani unaona wanavosumbua dunia yote haikali)
sasa niambie watoto wa yakobo ambao hawana uhusiano wa moja kwa moja na Nuhu wanaingilianaje
Kapigana na wajinga wajinga sio ISRAEL watu wenye MUNGU ALIYE HAI hivyo Wacha uone mambo Iran hawezi kumaliza hata mwezi mmoja.. Israel kashapigana na mataifa mengiOna huyu!
Iran imepigana vita ya MIAKA 8 kuanzia 1980-1988 ishindwe vita ya miezi??
Embu msome msije kutia aibu humu ndani.