MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
View: https://x.com/NiohBerg/status/1934336081698201740
Huyu mwamba alifanya kosa la kimkakati sana.
Huu mchezo hautaki hasira dada mdogo tulia tu dawa iingie..We matako kweli.
Hao raia wawili watatu ndio useme wairan wote?
Huwenda najadiliana na kichaa hapa.
Embu ngoja nkuignore nijadiliane na watu serious
Kuhusu ndege za kivita ni kweli Iran hana ndo maana Israel kashamiliki anga, we kwa hali hii ndege unaiweka ndani ya handaki ili iweje kwamba izaliane au ni jogoo linasubiri krisimasi.Iran silaha haweki juu kijana.
Muda mwingine tumieni common sense.
Ijumaa Israel alidai ameharibu full capability ya Iran kujilinda na kurusha makombora.
Mwishowe usiku wa ijumaa Iran akarusha mamia ya makombora.
Sasa embu jiulize kwanini mambo yameenda tofauti??
Au hayo makombora Iran aliyanya au?
We ulitazama interview ya netanyahu jana, alisema lengo si kutafuta suluhu lengo ni Utawala uanguke so sioni kama kuna dalili za Israel kusarrender Ayatoulah uchebe Khamenei akiwa haiIsrael na Marekani walikuwa wameanzisha operesheni maalumu , kimsingi ilikuwa ni operesheni yenye hatua tatu.
i-Identification and Surveillance ,kuwabaini maofisa wa juu wa kijeshi wa Iran, wanasayansi, na washauri wa Ayatollah.
ii-Infiltration and Sabotage , kupenyeza ndani ya taasisi agents katika mitandao ya kijeshi, vinu vya nyuklia na uongozi wa serikali .
iii-Neutralization and Collapse , kufanya mashambulizi ya moja kwa moja, mauaji ya kimyakimya, na kushambulia miundombinu muhimu kwa ustadi mku
Israel na US baada ya kuhakikisha wameshirikiana vyema kuweka agents wao nchini Tehran ambao kazi maalumu ilikuwa ku target high ranking officers wa jeshi, wanasayansi wa nuclear na washauri wa Ayatollah... kufanya sabotage kwenye miundombinu ya kijeshi na kiraia, kuharibu vinu vya nuclear , kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga na kuteketeza makombora ya masafa ya Iran bila kusahau kuharibu mahandaki yenye makombora au underground missiles bases..
Hivyo ndio maana Trump alianza kuongea kauli za kujiamini sana, kwamba Iran isipokaa mezani basi tunaingia kijeshi..
Fikra za Israel na US ni kwamba wakifanikiwa kuwamaliza wale top ranking officers , kupiga air defenses, kuharibu nuclear plants, kuharibu underground military bases na kuua wanasayansi, hapo utakuwa mwisho wa Iran..
Kitendo cha US kupeleka B-2 kule Diego Garcia , ni wazi walijua kifuatacho baada ya Israel kutangulia kuharibu ADs na kuharibu underground missile bases za Iran, anga litakuwa wazi, jeshi litakosa muongozo, na Iran itashindwa kujibu..
Huku US akimsukuma Israel aingie kulianzisha na yeye anakuja nyuma, lakini akiwa anaendelea kukabiliana na Iran, atampa msaada wa silaha, fedha na wataalamu.
Ukitizama kwa upana zaidi utagundua Israel na US walikuwa na 98% kwamba baada ya hio mission, utawala Iran unaanguka.. kweli wametekeleza yote Lakini matokeo yake imeenda kinyume...
Iran imekataa , Iran ina resist...
Matokeo yake Israel imeanza kutoa mlio wa ringtone..
US na Israel wameshindwa kuiangusha Iran, naamini kabisa Iran ikitoka kwenye huu mgogoro, wanatengeneza bomb la nuke..
Mkuu hata kujiongeza hujiongezi doh?Kuhusu ndege za kivita ni kweli Iran hana ndo maana Israel kashamiliki anga, we kwa hali hii ndege unaiweka ndani ya handaki ili iweje kwamba izaliane au ni jogoo linasubiri krisimasi.
Kuna analysis jana BBC kaifanya kaisome vizuri, na ndege nyingi alizonazo ni zile za Soviet era ambazo akiziweka angani haziwezi shindana na ndege za Israel za kizazi cha 5.
Hii vita Israel kaingia anajua Iran saizi yake na bahati yake ni vile kamkuta yuko na vita nyingine
Anavyozidi kujifanya mgumu basi Iran naye anazidi kukomaa.We ulitazama interview ya netanyahu jana, alisema lengo si kutafuta suluhu lengo ni Utawala uanguke so sioni kama kuna dalili za Israel kusarrender Ayatoulah uchebe Khamenei akiwa hai
Dawa inawaingia nyie mashoga wa Tel Aviv.Huu mchezo hautaki hasira dada mdogo tulia tu dawa iingie..
We matako kweli.
Hao raia wawili watatu ndio useme wairan wote?
Huwenda najadiliana na kichaa hapa.
Embu ngoja nkuignore nijadiliane na watu serious
exactly nina matako mawilli kama yako, kama huwezi vumilia dialogue si unapita pembeni tu, yaani we mmatumbi unaumia kichwa wakati wananchi wa Irani wanashagili, pls IGNORE me ASAPKwamba kazi ya ndege za kivita ni kurusha mabomu tu, hujui kama zinafanya ulinzi wa anga na kupangua missiles pamoja na ndege nyingine za maadui, ye Iran azitoe tuzione zije shindana na wale pisikaliMkuu hata kujiongeza hujiongezi doh?
Ili Iran arushe ndege kuja Israel anahitaji apite anga la Syria na Jordan,je hiyo access anayo??
Israel ameweza kurusha hizo ndege kwasababu amepewa access ya anga la Jordan na Syria.
Iran atatumia access ya anga lipi?
Iran anazo Su35 za Russia je hizo ni ndege za zamani??
Mwaka huu hafikishi wiki 2,Anavyozidi kujifanya mgumu basi Iran naye anazidi kukomaa.
Tuwakumbushe tu,Iran ni nchi ambayo ilivumilia vita ya miaka 8.
Kwahiyo msiongee kiwepesi tu.
Muache akaze kichwa ya 2006 yatamrudia.
Jidanganyeni bro.Mwaka huu hafikishi wiki 2,
tutakuwepo 👉
Jidanganyeni bro.
Mashambulizi aliyofanyiwa 1980 yalikua makubwa zaidi ya haya.
wenzako Iran wanasherehekea mtaani kukombolewa na Israel, wewe bado uko na AYATOLLAH aliyeji-exile???
View: https://www.tiktok.com/@quiztimeusa0/video/7516081053082209558?is_from_webapp=1&sender_device=pc
Hiyo habari sio mara ya kwanza tangu ijumaa inasemwa.![]()
Trump cuts short G7 trip over Middle East tensions as Israel and Iran exchange fire
Blasts have been heard in Tehran and sirens have sounded in Israel as US president convenes National Security Council.www.bbc.com
Haha hii statement ya siku ya kwanza kabla iran aja retaliate ,mtandao uwa hausahauViongozi wa IDF.
Tumemaliza kuzifumua air defence zote za Iran. Sasa anga liko wazi tayari KWA kazi ya kushambulia popote na yeyote tunayemtaka ndani ya Iran KWA Kasi na KWA uzito mkubwa Hadi tutakapoona malengo yetu yanatimia.
Nchi nzima Iko uchi tayari KWA kichapo.
The lion is rising
Marekani huwa ana jeuri ya kupigana vita vya hivyo na kushindaHii vita wasaidizi za Iran kama urusi or china kuingilia ni ngumu au kumuuzia silaha zao sababu watatoa nafasi na reason ya USA na allied wengine wa Israel kuingilia kati na kama ikitokea hivyo basi mashariki ya kati haitakuwa sehemu salama ya binadamu kuishi, na Trump kasema hawa waachiwe wapigane kwanza baada ya hapo ndo wataitwa mezani,
Kila mmoja na uchambuzi wake ila me naona Iran yuko hoi kushinda Israel na hadi wiki hii inaisha basi Israel ataondoka na pointi tatu muhimu.
exactly nina matako mawilli kama yako, kama huwezi vumilia dialogue si unapita pembeni tu, yaani we mmatumbi unaumia kichwa wakati wananchi wa Irani wanashagili, pls IGNORE me ASAP
View: https://vm.tiktok.com/ZMSPCBGYL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok