Kwamba kazi ya ndege za kivita ni kurusha mabomu tu, hujui kama zinafanya ulinzi wa anga na kupangua missiles pamoja na ndege nyingine za maadui, ye Iran azitoe tuzione zije shindana na wale pisikali
Kabla hajajibu kasome kwanza ile analysis na najua unajua haujawahi kuona Iran akiweka nguvu kwenye ndege za kivita
Ndege dunia ya sasa ni utopolo tu, nani wa kuhangaika na mandege..?
Inachofanya ndege na missiles zinafanya na kwa ufanisi mkubwa..
missiles zinakimbia kuliko ndege, missiles zinapunguza hatari ya maisha ya askari/rubani, missiles ina damage kubwa , missiles ina gharama ndogo...
Hizo ndege ambazo ni interceptors inaweza ku intercept hypersonic?
Kila inachofanya ndege missile inafanya mara mbili yake, Iran imewekeza kwenye drones na Missiles, labda nikupe siri moja, Iran imewekeza kwenye makombora zaidi na wamekuwa wataalamu na wanatisha ile mbaya... Israel hawana missiles kama za Iran ndio maana kutwa kuzunguka na mapipa mwisho marubani wanakamatwa...
Kingine ndege ni biashara za watu, US military industrial complex companies kama boeing, lockheed martin, northrop, general dynamics, raytheon technologies n.k... hao ni wafanya biasharawakubwa ulimwenguni wa biashara za silaha..
Wanazipamba bidhaa zao ambazo ni hizo F-16, F-35 n.k ili wapate wateja... Iran inatengeneza missiles sio kupata wateja bali kujilinda..
F-15,F-16,F22, F-35 n.k zina gharama katika utunzaji na maintenance, usisahau vipuri, zikisafiri umbaliambao makombora ya Iran yanakwenda inabidi ndege zao zifanyiwe refueling angani.. kombora la Iran hakuna cha maintenance cost, hakuna sijui vipuri , hakuna cha refuel, likiwashwa Tehran ni kama ambulance hadi Tel Aiv...
Kumbuka licha ya hizi kampuni za kuuza silaha kuuza ndege, wanauza na vipuri vyake pia, kumbuka ndege ni mashine kama gari.. hivyo wanaingiza faida sana..
Kwanini Iran haihitaji ndege?
1-gharama nafuu ya uendeshaji.
2-gharama nafuu ya utengenezaji
3-range ni kubwa .
4-ni ngumu kudakwa na air defenses.
5-usalama wa muendeshaji.
Sasa Iran inahitaji ndege ili iweje?
Makampuni ya kutengeneza ndege wanakomaa kuonyesha umuhimu wa ndege vita ili kusudi biashara yao iendelee lakini amini kwamba drone na missiles ndio mpango mzima...
hebu elezea ndege itafanya kitu gani missiles haiwezi?