Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Ya liniVideo ya zamani hii sio ya sasa.
Ya liniVideo ya zamani hii sio ya sasa.
The mighty Malcom Lumumba anachangia kwenye huu uzi, kitu ambacho ni very rare kuona akikifanya siku hizi.Tangu uzaliwe ulishasikia wazungu wana kabila kama hizo au akili ya propaganda
Miongoni mwa Friday videos kipindi Iron dome inadugua makombora ya Iran.Ya lini
Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
Wale wanaoshambuliwa pale haifa na Tel Aviv ni mbuzi![]()
Waziri wa ulinzi wa Israel na Netanyahu wana mpango wa kushambulia raia wa Iran..
Wanajiroga zaidi.![]()
Waziri wa ulinzi wa Israel na Netanyahu wana mpango wa kushambulia raia wa Iran..
Hajasema atawaua ila watalipaWanajiroga zaidi.
Sio wana mpango waseme Wana muendelezo wa kuua raia wa Iran maana walishaanza kuua.
sasa hivishow iko Iran, Ayatollah ameshasepa, wananchi wanaandamana kuishukuru Israel, waisrael wameitawala anga ya Iran, na kucgaua targeta wazipendazoWanajiroga zaidi.
Sio wana mpango waseme Wana muendelezo wa kuua raia wa Iran maana walishaanza kuua.
we. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabila
Wakati huo hakukuwa na taifa la israel wala ibrahim alikua hajazaliwa
“ndo shida ya madrasa bila elimu”
Mzigo upo eneo ambalo gumu kulilipua.IRAN TAYARI WANALO BOMU LA NYUKILIA
NETANYAHU SIO MWEHU ANACHOFANYA Nİ KUMPIGA ADUI KABLA HAJAKUMALIZA NA NDICHO ANACHOFANYA ANALENGA MAENEO YOTE YENYE POSSIBILITY YA KUWA NA HUO MZIGO.
Linasakwa kwa udi na uvumbaMzigo upo eneo ambalo gumu kulilipua.
Mbombo ngafu mzee.
wenzako Iran wanasherehekea mtaani kukombolewa na Israel, wewe bado uko na AYATOLLAH aliyeji-exile???Sijui watoto wa madrasa tuliwakosea nini nyinyi!
Unashindwa kujibu hoja za Profesa MALCOM LUMUMBA unatuparamia watoto wa Madrasa.
Tatizo nini?
Halafu why unafikiri tunaowapinga dola la kishetani la kizayuni ni sisi watoto wa Madrasa tu?
Sasa ukija kukutana na sisi tunaowapinga mazayuni na dola yao, akina khamenei (neo Safavid Republic of Iran), Urusi, Ukraine, North Korea, na Marekani si utachanganyikiwa zaidi, ilhali na wewe umeshakariri?