SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Walisema Ruhollah Khomeini akifariki basi Iran itakuwa na hali mbaya.

Akafariki, akaja Ali Khamenei na wanadunda mpaka leo.

Netanyahu akifariki hakiwezi kubadilika chochote, maana yanayofanyika Mashariki ya Kati siyo matakwa ya Netanyahu, bali madola ya Kimagharibi ambayo yanaitumia Israel kama ubalozi wao (Imperial Front) kule Mashariki ya kati.
​
 
😂😂 vita inapropaganda hii nchii ambayo mpakaa mkuu wa majeshi, mshauri mkuu wa kiongozi mkuu wa nchi mkuu wa islamic state scientist mahili wa nyuklia na base za sili za nyuklia vinauliwa simple namna ilee inawezaje kua na advanced weapon ambazo akuna nchi imewai kuziona just tumia kufikilia kikawaida tu apoo mkuu
Sasa wakubwa wa jeshi na teknolojia ya kutengeneza silaha vinaingilianaje?
 
Imagine unajirani yako ambae anaimba
Death to you! Death to You !

Kila siku halafu siku anatoa video ya kuonesha silaha nzito na kali kwa ajili ya kukuangamiza? Ungesubiri siku aje akuue

Hapana : Kama una akili utamvamia yy kabla hajakuvamia

Iran kila siku inaimba “Death to Israel”
Bado imetumia miaka zaidi ya 30 kuunda vikundi kwa ajili ya kuiangamiza Israel

Israel imetumia miaka miwili kuvipurula vikundi vyote Hamas, Hezbollah na sasa ina Houthi na nyoka mwenyewe Iran ndo anakula kipigo ambacho watoto wake ndio walikua wanapigwa.

Video hii ilivo tolewa ikaonesha tishio kubwa la Iran kwa amani ya dunia.




View: https://youtu.be/Dqx7H9VRzDc?si=ib4BcRssiUv0mY9E
 
Walisema Ruhollah Khomeini akifariki basi Iran itakuwa na hali mbaya.

Akafariki, akaja Ali Khamenei na wanadunda mpaka leo.

Netanyahu akifariki hakiwezi kubadilika chochote, maana yanayofanyika Mashariki ya Kati siyo matakwa ya Netanyahu, bali madola ya Kimagharibi ambayo yanaitumia Israel kama ubalozi wao (Imperial Front) kule Mashariki ya kati.
​
Eti magharibi waisrael ni wazungu?
ndio nyie mnasema Yesu ni mzungu
 
Iran iombe tu Marekani itupe taulo kwa sababu hii ngoma hawaiwezi. Ndege za Israel zinaruka kwenye anga ya Iran utafikiri ziko nyumbani Israel hadi Trump amewasihi Israel wasimuue Ayatollah..!!!😲😲😲
 
Moderators wameuua uzi wetu kwa makusudi na wameuleta huku!

Na wamefuta baadhi ya comments zangu.

Mwenye huu mtandano ni nani?
Mbona mwanzilishi naona ni yule yule kimsboy, sema wamebadili kichw cha habari.. na wameunga nyui nyingine lakini tupo sawa, sema wawe wanaoa taarifa sio kufanya kienyeji..
 
Sasa wakubwa wa jeshi na teknolojia ya kutengeneza silaha vinaingilianaje?
Kama watu wameingia mpaka seem zenyeulinzi zaidi katika nchi yako waningia mpaka ikulu kuua watu wanao wataka wao wafe wanashindwaje kujua aina za siraha unazi miliki kama vinu vya nyuklia vilivykuepo seem za sili zaidi na ulinzi mkali zaidi watu wamevijua vyote watashindwaje kujua siraha za hatari ulizo nazo siping technology yao bali naongele watu kuzijua saraha zao
 
Hizo Hypersonic tu walizonazo Iran ambazo zinapita juu ya nchi 3 ambazo zinaisaidia Israel kuyatungua lakini bado zinafika Israel hadi Iron Dome na Air defence system zote za Israel zimechanganyikiwa na kushindwa kuzizuia na kufanikiwa kupiga target ni Advanced weapons za Iran ambazo hazijawahi kushuhudiwa, kama umewahi kuzishuhudia eleza umezionea wapi.
Mimi sio jasusi siwezi kujua walicho nacho izoo kombola kweli wanazo na ni zakisasa zaidi lkn mm ninachoongelea kwamba mashilika makubwa ya ujasusi kama Mosad CIA n IDF lazima wanajua kitu kama icho kwasababu iran ameonesha wazi kua yeye kwenye intelijensia yake yupo week aiwezekan watu wakuchimbe mpaka chumbani kwako kiasi icho araf useme washindwe kujua siraha hatari unazo zimiliki
 
Trump akiingia base za US middle East zinakaangwa kama mihogo..
Iran wanasem hawajaanza kutumi advaned weapons ambazo dunia haijapata kuziona..
Eti ambazo dunia haijapata kuziona. News handout from a masjid reporter.

 
Kama watu wameingia mpaka seem zenyeulinzi zaidi katika nchi yako waningia mpaka ikulu kuua watu wanao wataka wao wafe wanashindwaje kujua aina za siraha unazi miliki kama vinu vya nyuklia vilivykuepo seem za sili zaidi na ulinzi mkali zaidi watu wamevijua vyote watashindwaje kujua siraha za hatari ulizo nazo siping technology yao bali naongele watu kuzijua saraha zao
Hao wana uawa ni watendaji, wanakwenda kazini na kurudi, hao wanasayansi wanakwenda kazini jioni wanarudi nyumbani, hivyo mossad wanawafuatilia, lakini access ya kuingia huko kwenye vinu vya nuclear si rahisi, kuna ulinzi mkali..

Usifikiri mossad kuua wanasayansi basi wana access rahisi kuingia kwenye vinu vya urutubishaji.. Iran sehemu wanapotunza silaha na vinu vyanuclear kuna ulinzi mkali na checkpoint za kufa mtu.. naposema ulinzi ni naungumzia pamoja na ulizni wa kiteknolojia..
 
Tangu uzaliwe ulishasikia wazungu wana kabila kama hizo au akili ya propaganda
Ndiyo, mbona hata kwenye Biblia imeandikwa kwamba Ashkenazi alikuwa ni mtoto wa Japhet (Baba wa wazungu), na siyo Shem (Baba wa Wayahudi). AU hili hukufundishwa Sunday School ????

"
Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika. Wana wa Yafethi ni Gomeri, na Magogu, na Madai, na Yavani, na Tubali, na Mesheki, na Tirasi. Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama." Mwanzo 10: 1-4​
 
Zipi hizo? Nukes au?
Usijchokijua ni kwamba kwa hali ilivyo na jinsi Iran ilivyopigwa wangekuwa na hizo siraha wangesharusha saa hii
Trump akiingia base za US middle East zinakaangwa kama mihogo..
Iran wanasem hawajaanza kutumi advaned weapons ambazo dunia haijapata kuziona..
 
Back
Top Bottom